CCM Ni "Chama Dola" Sio Chama Cha Siasa, haingoki Madarakani Ng'oo

Kama Bado Taasisi Zote Hizi Ziko Nyuma Ya CCM Hazijagawanyika.CCM Haiwezi Kutoka Madarakani.CCM Bado Ni Taasisi Yenye Nguvu Na Ina uwezo Wa Kubadili Matokeo Wakati Wowote Na Kwa Gharama Yeyote.UKAWA Wataambulia Ubunge Lakini Uraisi Wasahau

Umeandika kishabiki ila ni ukweli mtupu. Viongozi wastaafu karibu wote serikalini ni ccm, juzi tu hapa watu walishangaa kuona jaji Augustino Ramadhani kugombea kupitishwa kuwania urais kupitia ccm. Yule kigogo wa takukuru aliyepata ajali na kufariki akiwa njiani kwenda kwenye kampeni ya ubunge kupitia ccm, orodha iko ndefu.
 
wewe mrundi?tuondoleeni Laana ya vifo. CCM anachinjwa mchana kweupe,anaufyata kama KANU

UKAWA Wanatumia Nguvu Nyingi Sana Kufanya Siasa Bila Ya Kua Na PlanB.Ila CCM Kwao Siasa Ni Gelesha Na Ni PlanB Kwao.PlanA Yao Ni Kushikiria Na Kudhibiti Vyombo Ya Maamuzi.Kama Vile Tume Ya Uchaguzi, Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama, Usalama Wa Taifa, Mahakama N.K

Kwahiyo CCM Wanauwezo Wa Kubadili Matokeo Mda Wowote Na Kwa Gharama Yeyote Na Kwa Namna Yeyote Wanayoitaka.Kwa Kushirikiana Na Vyombo Vya Maamuzi.CCM Wako Tayari Wapoteze Viti Vyote Vya Ubunge.Lakini Sio Kupoteza Nafasi Ya Uraisi.Kupoteza Nafasi Ya Uraisi Maanayake Ni Kushusha Bendera Ya CCM Na Kukosa Nafasi Ya Kuunda Serikali.Kitu Ambacho Ni Matusi Makubwa Sana Kwa CCM Na Kamwe Hawawezi Kukubali Kitokee.UKAWA Wasubiri Rafu Mbaya Sana October.Hawataamini Watakachokioni.Dr.Magufuli Ndie Raisi Ajae.Wale Wa Ndoto Endeleeni Kuota.
 
Mmezoea kuwadanganya watanzania na kuwatisha tisha na vitu vya kijinga kama hivi. Hayo maneno baki nayo rohoni mwako.
 
Umeandika kishabiki ila ni ukweli mtupu. Viongozi wastaafu karibu wote serikalini ni ccm, juzi tu hapa watu walishangaa kuona jaji Augustino Ramadhani kugombea kupitishwa kuwania urais kupitia ccm. Yule kigogo wa takukuru aliyepata ajali na kufariki akiwa njiani kwenda kwenye kampeni ya ubunge kupitia ccm, orodha iko ndefu.
Orodha ipo ndefu ya wana CCM kupata ajali na kufa, Hamu wezi kushindana na nguvu ya mungu hata mkiwa kwenye system ya chooni.. ipo siku itaziba na uchafu kutokelezea juu...🙊..!!
 
Kama chama dola peleka marekani tuachie ukawa yetu na shilingi una mawazo mgando kama kinyesi cha paka
 
Kama Kuna Mtu Binafsi Au Kikundi Cha Watu, Taasisi Binafsi Au Ya Uma,Mwananchi Wa Kawaida Au Chama Chochote Cha Siasa Ambacho Kina Ndoto Ya Kuingoa CCM Madarakani.Kikae Kikijua Bado Mapema Tu Kua Kinaota Ndoto Mchana Kweupee

CCM Ni "Chama Dola" Na Sio "Chama Cha Siasa".CCM Ni Zaidi Ya Mwenyekiti Wa CCM Na Katibu Wake,CCM Ni Zaidi Ya Makao Makuu Pale Lumumba,CCM Ni Zaidi Ya Mkutano Mkuu Pale Dodoma,CCM Ndio Raisi Wa Nchi Na Serikali Yake,CCM Ndio Viongozi Wakuu Wastaafu Na Walio Madarakni,CCM Ndio Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama,CCM Ndio Usalama Wa Taifa,CCM Ndio Tume Ya Uchaguzi(NEC),CCM Ndio Upinzani(Baadhi Ya Vyama Vya Upinzani Ni Matawi Matiifu Ya CCM)

Km Taasisi Zote Hizi Bado Ziko Nyuma Ya CCM.UKAWA Hata Kama Ingejiunga Na ODM(Kenya) Au FDM(Uganda).Swala La Kuing'oa CCM Madarakani Bado Itakua Ni Ndoto Ya Alinacha.

Twendeni Tukajiandikish Kw Wingi.EL Muachen Ajiunge Na UKAWA.Lakn Ukweli Utabak Palepale "Dr.JP Magufuli" Ndie Raisi Wetu Ajae.Utake Husitake Huu Ndio Ukwel.Ila Sio Jambo Baya Kuota Ndoto
​Sawa tumekusikia mbwa wa mungu DOGofGOD
 
Last edited by a moderator:

Jitihada zakuunda Tume huru ya uchaguzi zimekwama sasa unataka wafanye nini? Umendika kwa kudhihirisha serikali iliyokandamizi, what a wretched and scented government this is! !!
 
Back
Top Bottom