Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,405
- Thread starter
- #21
Ukisikiliza hotuba aliyoitoa Mwalimu Singida mwaka 1986 utagundua ni kwa nini aliamua Tanzania iingie mfumo wa vyama vingi. Katika hotuba hiyo alibainisha kuwa CCM ilikuwa kama KANU ilivyokuwa baada ya kushinda 1963, yaani haikuwa tena na input kutoka grassroots. (Unakumbuka Mwalimu aliachia uongozi mwaka mzima kuhakikisha kuwa TANU inakuwa chama cha grassroots wakati wote). Mwalimu hakurudia matapishi yake. Alikuwa ni msomi ambaye aliweza kubaini hatari za kuendelea na mfumo wa chama kimoja, ambazo sote tunazishuhudia hivi leo. CCM ilikuwa imegeuka kuwa behemoth lisiloweza kudhibitiwa. Mwaka huo huo nilikutana na Mwalimu New York, tukazungumzia hatima ya CCM. Alinishangaza aliposema kuwa bila kuwepo ushindani CCM italeta utawala wa kidikteta nchini na itakuwa vigumu kukiondoa.
CCM inaonyesha all characteristics of an endangered species, kwa mfano:
1. Loss of habitat - its habitat being ndani ya mioyo ya watanzania.
2. Climate Change - suffers from an increase of temperature of the country's political atmosphere.
3. Slow to reproduce - visionary and innovative leaders and ideas.
I remain to wonder iwapo Mwalimu angekuwepo angefanya nini tofauti ili kuokoa this Dinosaur from becoming extinct katika siasa za nchi yetu.