Ccm na unafiki wao

kibenya

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
383
134
Hivi wadau tume ya uchaguzi imewabeba ccm hilo lipo wazi inakuwaje tena huyu mbege kwenda mahakamani ina maana nao hawana imani na tume?nahakika ameshauriwa viongozi kabla ya kwenda kupinga matokeo me nadhani nae atangaze hadharani hatambui matokeo yaliyompa ushindi kikwete maana nae hana imani na tume
 
Mie nadhan ni upungufu wa akili. Kama uke wa Mbatia kupinga matokeo ya Kawe. Mwingine niwa nec kumtangaza mahanga kuwa mbunge wa Segerea wakat alikamatwa na gari la masanduku ya kura. Duh! Tz zaid ya uijuavyo
 
Hivi wadau tume ya uchaguzi imewabeba ccm hilo lipo wazi inakuwaje tena huyu mbege kwenda mahakamani ina maana nao hawana imani na tume?nahakika ameshauriwa viongozi kabla ya kwenda kupinga matokeo me nadhani nae atangaze hadharani hatambui matokeo yaliyompa ushindi kikwete maana nae hana imani na tume

yethu na maria! huyo mbege ndio nani? nahisi udenda unanitoka aise!
 
CCM wanaosema nao hawana imani na tume kweli sijui hata tuwaelewaje kwani ni hali ya hatari sana kubebwa kote huko bado wanaleta majungu.Ukiona CCM mbunge kashindwa basi ujue hali yake ilikuwa mbaya sana maana hata kubebwa na tume ilishindikana.
 
Makamba aliwaamuru wote walioshindwa ubunge wafungue kesi mahakamani; chama cha mafisadi watagharamia
 
Back
Top Bottom