Hivi wadau tume ya uchaguzi imewabeba ccm hilo lipo wazi inakuwaje tena huyu mbege kwenda mahakamani ina maana nao hawana imani na tume?nahakika ameshauriwa viongozi kabla ya kwenda kupinga matokeo me nadhani nae atangaze hadharani hatambui matokeo yaliyompa ushindi kikwete maana nae hana imani na tume