CCM na Mwigulu mnajua kinachoendelea Marekani?

CCM na Mwigulu mnajua kinachoendelea Marekani?

Mbona Marekani hawatuigi sisi ambao tunauza Vyama kwa Mabilionea

Kwa Taarifa yako hiyo ni People's Summit ambayo inafanyika kwa Mwaka Mara Moja ni Si Mkutano wa Kisiasa Moja kwa Moja Unahusisha watu wengi.

Jamaa Uko Shallow sana aisee hujui hata People's Summit unaifananisha na Mikutano ya CHADEMA?
Tusaidie sisi wengine kutofautisha kati ya mkutano wa People's Summit na mikutano ya Chadema au upinzani. Angalia orodha ya wasemaji kwenye People's Summit na utueleze ni wa mlengo gani katika siasa za Marekani.
 
Wasipofanya mikutano mnawaita vyama vya misimu,Kenya kila siku ni siasa tunawazidi nini? hadi Fifa wanatuzidi.Uhuru wa kujieleza ni muhimu sana kwa jamii inayotaka kuendelea wasikilize watu acha wafanye mikutano ya hadhara ujue hali na mustakhabari wa nchi.
 
Wale wana Utaratibu Maalumu nyinyi Si Mnataka Kutanda Barabarani Kuzuia Shughuli za Kichumi kwa Kufunga Barabara hizo kitu ndo Hakikubali hizo Summit wenzetu wanafanya Sehemu Maalumu hakuna Usumbufu.

Allen Mbona Kichwa chako Kimekua chepesi sana siku hizi! Ulihonga nini hadi Ukawa verified maana si Kwa Akili hizi au Kuna mtu alikutumia Applications!
Acha uongo.Watu wanazuiwa hata kuzindua kitabu tu, uzinduzi ni wa maandamano?
 
Wale wana Utaratibu Maalumu nyinyi Si Mnataka Kutanda Barabarani Kuzuia Shughuli za Kichumi kwa Kufunga Barabara hizo kitu ndo Hakikubali hizo Summit wenzetu wanafanya Sehemu Maalumu hakuna Usumbufu.

Allen Mbona Kichwa chako Kimekua chepesi sana siku hizi! Ulihonga nini hadi Ukawa verified maana si Kwa Akili hizi au Kuna mtu alikutumia Applications!
Ndo interijansia yenu inavyo waambia?..........ok wataandama kuunga mkono maamuzi ya mzee Pombe
 
Mbona Marekani hawatuigi sisi ambao tunauza Vyama kwa Mabilionea

Kwa Taarifa yako hiyo ni People's Summit ambayo inafanyika kwa Mwaka Mara Moja ni Si Mkutano wa Kisiasa Moja kwa Moja Unahusisha watu wengi.

Jamaa Uko Shallow sana aisee hujui hata People's Summit unaifananisha na Mikutano ya CHADEMA?
Trump ni lofa kama mzee wa chato, nch za kibepari hakuna masikini akawa mwanasiasa...
[emoji4] [emoji4]
 
Wakati Mwigulu na wana CCM wenzake wanafanya kila jitihada kuwadanganya watanzania kwamba Marekani na ulaya uchaguzi ukimalizika walioshindwa husubiri uchaguzi ujao bila ya kufanya kazi za siasa, hali halisi inaonesha kwamba huo ni uongo.

View attachment 522259
Huu ni mkutano uliofanywa Jumamosi usiku na Benn sanders aliyeingia kwenye kura za maoni ndani ya chama cha Democrat kuomba kugombea Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi wa mwaka 2016 na kushindwa na Hilary Clinton. Kwenye mkutano huu Sanders alifanya siasa zote pamoja na kumshutumu Donald Trump jinsi anavyoendesha nchi ya Marekani.

Hoja kwamba wanasiasa na vyama vilivyoshindwa uchaguzi nchinin Marekani vitasubiri mpaka 2020 ndiyo vifanye kazi za siasa Mwigulu kazitoa wapi?
Halafu Marekani hao hao wanasapoti ushoga na usenge. Tuna mengi ya kuiga aisee
 
Lipi ni tukio la kila mwaka, kufanya siasa baada ya uchaguzi ni tukio la kila mwaka? Halafu mbona kila siku maandamano yanafanyika Washington DC kumpinga ama kumuunga mkono Trump? UVT ni kifupisho cha Umoja wa Vijana Tanzania kabla ya kubadilishwa na kuitwa Umoja wa Vijana wa CCM-UVCCM.
Mkuu unavyomjibu kwa utulivu bila mhemko jamaa anamind kweli,yaani kukuprovoke kote hivyo halafu unampa majibu mazuri,inakera sana!Alitegemea ujae povy
 
Hadi sasa nasubiri ushahidi wa Mbinguni na ardhini wa Mwigulu juu ya ugaidi wa Arusha
 
Mtu wa kwanza kwanza kutoa kauli hii alikuwa mgombea urais kwa tkt ya chadema mwaka 2010...
 
Naona hapa ni kudanganyana tu. Marekani au Ulaya hakuna ujinga huo, ukiona vyama viko kimya kwao ni mkakati tu wa nini vitafanya baadaye, huko hakuna sheria wala dikteta anayewaamulia vyama nini wafanye na wakati gani.

Pamoja na kwamba hata hapa kwetu hamna sheria inayovikataza vyama kufanya siasa baada ya uchaguzi au hata polisi kuwazuia wasikutane na watu ktk rallies, bado kuna fikra potofu kuwa akishasema rais basi ndo imetoka, kitu ambacho siyo haki kisheria.

Wakati dikteta Agusto Pinotchei anaua watu kule Chile kwenye miaka ya sabini, Mfalme Shah kule Iran naye akimalizana udhia na Wairan, wakati huo pia Rais Ferdinand Marcos wa Ufilipino akiwaingiza chaka Wafilipino bila kuwasahau akina Bokassa, Nguema, Mobutu, Amin nk,. Na wote hawa, kukandamiza wapinzani na kunyanyasa vyombo vya habari ndiyo ilikuwa sera yao kuu.

Wote hao kwa mamlaka waliyokuwa nayo walionekana wako sahihi tu lkn kwa kuwa hakuna kisicho na mwisho, siku ya siku ilipowadia kila moja alitafuta chaka pa kujifichia baada ya kudhihirika kwamba kumbe ktk nchi yoyote duniani hakuna aliye juu ya sheria na anayefikiri hivyo ni kujidanganya tu na ni ulevi tu wa madaraka.
 
Je wanazuiwa kuongea na maamuzi ya Trump? Say obama, hilary akitaka fanya hivo ni trump anamzuia? Mlivo mazuzu mnajilinganisha na ulaya na marekani upande mmoja na mnasema uwongo na mengine ya muhim sana mbona hamjilinganishi nao... kama demokrasia, uhuru wa habari etc... watu mmeshindwa wapa hata maji tu ya kunywa watz na hata kuwa na vyoo vya shimo kwa miaka yote mliyo kuwa madarakani tangu uhuru.. . Hovyoooooo... na wewe unalipwa visent na kiwa shabiki....
Wanabaki kusema wao ni Serikali ya Wanyonge miaka 56 ya Uhuru!
 
sina imani saaaana kama mtoa mada ulifikiria kwanza kabla ya kupost
 
sina imani saaaana kama mtoa mada ulifikiria kwanza kabla ya kupost
Hapo kitu gani sijakifikiria. Mimi najua tofauti kati ya Mkutano na Kikao. Baadhi yenu mnazungumzia vikao kama kile cha Baraza Kuu la CHADEMA kilichofanyika Dodoma. Mimi nazungumzia mkutano kama huo wa Peoples Summit.
 
usipate tabu mkuu fanya google what is people's summit ndo urudi
 
usipate tabu mkuu fanya google what is people's summit ndo urudi
Sina haja ya ku- google kwani najua nilichoandika. Hiyo Peoples Summit umeona watu wa Republican wamo? Unajua ni kwanini wadau wakubwa wa hiyo ni Demokratik na chama cha manesi Marekani? Huo sijasema ni kikao cha Demokratik bali ni mkutano uliohutubiwa na Bennie sander toka Demokratik!
 
Back
Top Bottom