CCM na Mwigulu mnajua kinachoendelea Marekani?

CCM na Mwigulu mnajua kinachoendelea Marekani?

Kwa Taarifa yako hiyo ni People's Summit ambayo inafanyika kwa Mwaka Mara Moja ni Si Mkutano wa Kisiasa Moja kwa Moja Unahusisha watu wengi.

Jamaa Uko Shallow sana aisee hujui hata People's Summit unaifananisha na Mikutano ya CHADEMA?
Idadi ya wajinga inazidi tu kuongezeka awamu hii...kama huyu anayejiita [B]Troll JF[/B]; sijui hizi nazo ataziita People's Summit au huenda ikawa hilo neno kalisikia leo na kwa ujinga wake akakimbilia JF. Hii ni mikutano ya kisiasa na maandamano yanayofanyika dhidi ya Rais wa Marekani, Donald Trump na kama unavyoona mitaa haipitiki kwa wingi wa waandamanaji.

Mtu na akili yako kama unadiriki kudanganya watu kama [B]Troll JF[/B] anavyofanya, unajua mara moja kwamba huyo akili kahamishia makalioni kwa akina Bashite na baba yao. Haya maandamano Marekani yataendelea kufanyika kila wiki hadi Rais wao apate akili na kujitambua ni mtumishi wa wananchi na kwamba hayuko juu ya katiba.

Madikteta uchwara kama tulio naye mwisho wao mpakani, humu humu ndani ya taifa la wadanganyika. Kwenye jamii iliyostaarabika ataonekana kituko na bahati yao wanatambua hilo...wanaogopa majuu kama ukoma!

march-759.jpg

1052677168.jpg

USPROTESTMUSLIMSSHARIA_1.jpeg.CROP.promo-xlarge2.jpeg

Trump-Inauguration-Pr_Horo-12-635x357.jpg

104440890-GettyImages-675537236.530x298.jpg

WOMENSmarch_1485121868742_7889086_ver1.0.jpg

DCAH101-51_2017_200845_hd.jpg

5328.jpg

EPA-tax-day-march-1-jt-170415_4x3_992.jpg
 
Mwenye Akili Za Matakoni Labda Mama Yako Mzazi Ila Mimi Najua Peoples Summit Ni Tukio Ambapo Linafanyika Mara Moja kwa Mwaka Kuanzia Tarehe 9 hadi 11 Mwezi wa Sita Tukio hili Lilianzishwa wakati wa Utawala wa Rais Obama 2016 linakua Organised by Nurses Union ,Watu wa Bernie Sanders na Magroup mengine

Ungana na Ukawa na hata wazazi wako hamnizidi Kwa Akili Za Darasani na Kuelewa Mambo. Huyu Mwenzio Allen Kilewella anakuchora tuu ameshajua Kitambo Kuwa People's Summit Si Maandamano ya Kumpinga Trump Bali Ni Annual Conference ilianzishwa Mwaka 2016 ambapo hata Trump hakuepo Madarakani Vitu Vidogo vinakushinda Kuelewa Unajua Maana ya Convfefe?
 
Lakini inapofanyika huwa wanaomba "ruhusa" ya kufanya ama Trump anakuwa na mamlaka ya kuwaambia wasifanye au wakifanya wanaweza kukamatwa kwa maneno watakayoyasema kwenye mkutano wao huo?
Mkuu Kilewella kule hufanyia summit zao ndani ya ukumbi fulani. Ni sawa sawa na siasa za ndani ambazo zinapigiwa debe awamu ya tano.

Wenzetu hawana muda wa mbwembwe za mabodaboda mengi siku za mikutano na kuwaweka watu juani kuanzia saa tano asubuhi wakati mkutano unaanza saa kumi jioni.
 
Kwa Akili hizi acha Mbowe Darasa la 7 awatawale Milele!
Hoja yangu bado inasimama. Kuna tofauti kati ya Kikao na Mkutano na "Peoples Summit" ni mkutano unaojisajihisha zaidi na Democratic kuliko Republican kwa ivo kwa kuwa Republican ndiyo wapo madarakani kwa tabia hizi za CCM wangeuzuia kufanyika.

Pia ni jibu kwa Mwigulu kwamba siasa ni kuvumiliana. Bennie Sanders alitumia mkutano huo kukishutumu chama chake bila ya hofu ya kutimuliwa na pia wahudhuriaji walikuwa wanamchagiza Sanders aanzishe chama chake bila ya kujali kama kwa sasa yeye na wao wapo Democratic. Hicho ndicho ninachotaka kukionesha kwamba CCM wanaendesha siasa za Kizamani.
 
Phillipo Bukililo hoja yako si sahihi. Wagogo wana ndonya na wamakonde pia wana ndonya, jee ndonya zao zinafanana? Tanzania wanazuiwa kufanya maandamano dhidi ya watawala ila wanaruhusiwa kufanya ya kusifia watawala ama mambo yao. Unakumbuka maandamano ya Bongo Movie? Mikutano ya ndani ya vikao inafanyika lakini wakitaka ya kukusanya wafuasi wasio viongozi wanakatazwa!
 
Hoja yangu bado inasimama. Kuna tofauti kati ya Kikao na Mkutano na "Peoples Summit" ni mkutano unaojisajihisha zaidi na Democratic kuliko Repbulican kwa ivo kwa kuwa Republican ndiyo wapo madarakani kwa tabia hizi za CCM wangeuzuia kufanyika.

Pia ni jibu kwa Mwigulu kwamba siasa ni kuvumiliana. Bennie Sanders alitumia mkutano huo kukishutumu chama chake bila ya hofu ya kutimuliwa na pia wahudhuriaji walikuwa wanamchagiza Sanders aanzishe chama chake bila ya kujali kama kwa sasa yeye na wao kwa sasa wapo Democratic. Hicho ndicho ninachotaka kukionesha kwamba CCM wanaendesha siasa za Kizamani.
Nyinyi Mbona Mlitumia Msiba wa Ndesamburo Kuishutumu Serikali? Mkiongozwa na Mwanasiasa wenu Mpendwa Dr Gwajima..
 
Mbona Marekani hawatuigi sisi ambao tunauza Vyama kwa Mabilionea?

Kwa Taarifa yako hiyo ni People's Summit ambayo inafanyika kwa Mwaka Mara Moja ni Si Mkutano wa Kisiasa Moja kwa Moja Unahusisha watu wengi.

Jamaa Uko Shallow sana aisee hujui hata People's Summit unaifananisha na Mikutano ya CHADEMA?
Kama huwaigi mbona mwiguru anawaiga tikisa kichwa kaka bado kimelala
 
Nyinyi Mbona Mlitumia Msiba wa Ndesamburo Kuishutumu Serikali? Mkiongozwa na Mwanasiasa wenu Mpendwa Dr Gwajima..
Msiba ni dharura kwa ivo huwezi kusema CHADEMA walipanga utokee. Hebu fikiria mtu anatoa amri kwa Polisi kuzuia wanasiasa toka sehemu moja kufanya siasa kwingine. Yaani eti Godbless Lema asihutubie mkutano wa Joseph (Sugu) Mbilinyi Mbeya mjini kisa yeye ni Mbunge wa Arusha mjini. siasa gani hizi za kishamba!
 
Mbona Marekani hawatuigi sisi ambao tunauza Vyama kwa Mabilionea?

Kwa Taarifa yako hiyo ni People's Summit ambayo inafanyika kwa Mwaka Mara Moja ni Si Mkutano wa Kisiasa Moja kwa Moja Unahusisha watu wengi.

Jamaa Uko Shallow sana aisee hujui hata People's Summit unaifananisha na Mikutano ya CHADEMA?
basi na hapa ccm waruhusu hiyo kitu japo mara moja tu.
sio kila wakisikiamaandalizi ya kongamano la vyama. basi ccm na poliziziem wao utawaskia KUNA SHUGHULI YA HARUSI YA MTOTO WAAA......!! hivyo ukumbi usitumike kwa mkutano huo
 
Wakati Mwigulu na wana CCM wenzake wanafanya kila jitihada kuwadanganya watanzania kwamba Marekani na ulaya uchaguzi ukimalizika walioshindwa husubiri uchaguzi ujao bila ya kufanya kazi za siasa, hali halisi inaonesha kwamba huo ni uongo.

View attachment 522259
Huu ni mkutano uliofanywa Jumamosi usiku na Benn sanders aliyeingia kwenye kura za maoni ndani ya chama cha Democrat kuomba kugombea Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi wa mwaka 2016 na kushindwa na Hilary Clinton. Kwenye mkutano huu Sanders alifanya siasa zote pamoja na kumshutumu Donald Trump jinsi anavyoendesha nchi ya Marekani.

Hoja kwamba wanasiasa na vyama vilivyoshindwa uchaguzi nchinin Marekani vitasubiri mpaka 2020 ndiyo vifanye kazi za siasa Mwigulu kazitoa wapi?
Kwani wewe hapo umeona kuna maandamano kama ambavyo CHADEMA mnataka iwe?? Hapa kilichoruhusiwa ni kufanya mikutano ya siasa ya ndani kama ambavyo hao wamefanye na hata hapa inafanyika. Tatizo la siasa za hapa Tanzania ni kutaka kufanya maandamano ya barabarani tu.
 
Ccm ndio iliuzwa kwa kina karamagi na chenge ndio mana c
Mbona Marekani hawatuigi sisi ambao tunauza Vyama kwa Mabilionea?

Kwa Taarifa yako hiyo ni People's Summit ambayo inafanyika kwa Mwaka Mara Moja ni Si Mkutano wa Kisiasa Moja kwa Moja Unahusisha watu wengi.

Jamaa Uko Shallow sana aisee hujui hata People's Summit unaifananisha na Mikutano ya CHADEMA?
hama hakifurukuti
 
Shughuli zipi za uchimina Tanzania ya vi wwonder ilishafilisika?oll JF, post: 21558304, member: 272540"]Wale wana Utaratibu Maalumu nyinyi Si Mnataka Kutanda Barabarani Kuzuia Shughuli za Kichumi kwa Kufunga Barabara hizo kitu ndo Hakikubali hizo Summit wenzetu wanafanya Sehemu Maalumu hakuna Usumbufu.

Allen Mbona Kichwa chako Kimekua chepesi sana siku hizi! Ulihonga nini hadi Ukawa verified maana si Kwa Akili hizi au Kuna mtu alikutumia Applications![/QUOTE]

Shughili
 
Back
Top Bottom