CCM na Mwigulu mnajua kinachoendelea Marekani?

CCM na Mwigulu mnajua kinachoendelea Marekani?

Ccm wanA akili za kupinga mazur na kula rambi rambi
 
Kwa hiyo ni wajibu kuiga kila wakifanyacho wamarekani sio???? Acha uzezeta komboka jifungue minyororo hiyo ndugu kuwa huru fikiri kambinadamu sio kama mnyama aliefugwa.


Wakati Mwigulu na wana CCM wenzake wanafanya kila jitihada kuwadanganya watanzania kwamba Marekani na ulaya uchaguzi ukimalizika walioshindwa husubiri uchaguzi ujao bila ya kufanya kazi za siasa, hali halisi inaonesha kwamba huo ni uongo.

View attachment 522259
Huu ni mkutano uliofanywa Jumamosi usiku na Benn sanders aliyeingia kwenye kura za maoni ndani ya chama cha Democrat kuomba kugombea Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi wa mwaka 2016 na kushindwa na Hilary Clinton. Kwenye mkutano huu Sanders alifanya siasa zote pamoja na kumshutumu Donald Trump jinsi anavyoendesha nchi ya Marekani.

Hoja kwamba wanasiasa na vyama vilivyoshindwa uchaguzi nchinin Marekani vitasubiri mpaka 2020 ndiyo vifanye kazi za siasa Mwigulu kazitoa wapi?
 
Kwa hiyo ni wajibu kuiga kila wakifanyacho wamarekani sio???? Acha uzezeta komboka jifungue minyororo hiyo ndugu kuwa huru fikiri kambinadamu sio kama mnyama aliefugwa.
Aliyetoa mfano wa Marekani ni Mwigulu na siyo mimi. Kama unadhani ni uzezeta na inatakiwa kujifungua minyororo ili kuwa huru na kufikiri kama binadamu na siyo mnyamana aliyefugwa, hayo maneno mwambie Mwigulu!!
 
Back
Top Bottom