CCM na Mwigulu mnajua kinachoendelea Marekani?

CCM na Mwigulu mnajua kinachoendelea Marekani?

Tz badosanaaana chama na maisha vi pamoja like kampuni na shareholder
 
Kama huipendi CCM, hama nchi kwani ndio chama kilichopo madarakani. ANAYEOA MAMA NDIYE BABA!!!!
 
Kama huipendi CCM, hama nchi kwani ndio chama kilichopo madarakani. ANAYEOA MAMA NDIYE BABA!!!!
Kuwa chama tawala ndiyo kunachukua haki yangu ya kikatiba kama Mtanzania? Yaani mnataka kuifanya CCM ni mungu wa Tanzania kwa nini lakini? Huo ujinga wa kuiabudu CCM wengine hatunao!
 
Mwigulu alianza kuvaa viatu kofuli na viatu akiwa na miaka 19, siasa za marekali atazijulia wapi.
 
Nashukuru umekuwa muwazi Bernie
5f0468be4d7342ca562cca345e07826d.jpg
 
Mbona Marekani hawatuigi sisi ambao tunauza Vyama kwa Mabilionea?

Kwa Taarifa yako hiyo ni People's Summit ambayo inafanyika kwa Mwaka Mara Moja ni Si Mkutano wa Kisiasa Moja kwa Moja Unahusisha watu wengi.

Jamaa Uko Shallow sana aisee hujui hata People's Summit unaifananisha na Mikutano ya CHADEMA?
Bwahaha duh!
 
Kijana wa lumumba acha kuropoka upuuzi! Ni billionea gani amenunua chama TZ....
 
Wakati Mwigulu na wana CCM wenzake wanafanya kila jitihada kuwadanganya watanzania kwamba Marekani na ulaya uchaguzi ukimalizika walioshindwa husubiri uchaguzi ujao bila ya kufanya kazi za siasa, hali halisi inaonesha kwamba huo ni uongo.

View attachment 522259
Huu ni mkutano uliofanywa Jumamosi usiku na Benn sanders aliyeingia kwenye kura za maoni ndani ya chama cha Democrat kuomba kugombea Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi wa mwaka 2016 na kushindwa na Hilary Clinton. Kwenye mkutano huu Sanders alifanya siasa zote pamoja na kumshutumu Donald Trump jinsi anavyoendesha nchi ya Marekani.

Hoja kwamba wanasiasa na vyama vilivyoshindwa uchaguzi nchinin Marekani vitasubiri mpaka 2020 ndiyo vifanye kazi za siasa Mwigulu kazitoa wapi?
Hii ni TZ ni hiyo ni marekani, so,usituletee sheria za huko.
 
Mbona Marekani hawatuigi sisi ambao tunauza Vyama kwa Mabilionea?

Kwa Taarifa yako hiyo ni People's Summit ambayo inafanyika kwa Mwaka Mara Moja ni Si Mkutano wa Kisiasa Moja kwa Moja Unahusisha watu wengi.

Jamaa Uko Shallow sana aisee hujui hata People's Summit unaifananisha na Mikutano ya CHADEMA?
Nawe Dish halijakaa sawasawa
Kwako ikiitwa "people's summit" mswahili akiita Mkutano ni mwongo

Karekebishe dish kama ni Startimes litazamishe makongo
 
Nawe Dish halijakaa sawasawa
Kwako ikiitwa "people's summit" mswahili akiita Mkutano ni mwongo

Karekebishe dish kama ni Startimes litazamishe makongo
Akili Huna wewe Unafikiri Summit ina involve kufunga Barabara au Mafuriko kama ya Lowassa pale Tanganyika Packer's au Jangwani Summit ina Tofauti na Huwezi Kufananisha na Za Chadema hizo zinaitwa rally.

Vijana wa Chadema ni wapuuzi sana
Summit ni Tofauti na rally we ni Nguruwe tuu kama wa kwenye avatar yako
 
Hapa amesema ..of the Chadema Party or Democratic Party?......Sijaelewa

5f0468be4d7342ca562cca345e07826d.jpg
 
Back
Top Bottom