CCM na Mwigulu mnajua kinachoendelea Marekani?

Wale wana Utaratibu Maalumu nyinyi Si Mnataka Kutanda Barabarani Kuzuia Shughuli za Kichumi kwa Kufunga Barabara hizo kitu ndo Hakikubali hizo Summit wenzetu wanafanya Sehemu Maalumu hakuna Usumbufu.

Allen Mbona Kichwa chako Kimekua chepesi sana siku hizi! Ulihonga nini hadi Ukawa verified maana si Kwa Akili hizi au Kuna mtu alikutumia Applications!
Yaani ccm mnasaini mkataba na iptl tena kweli ccm ni wezi hatari
 
Wale wana Utaratibu Maalumu nyinyi Si Mnataka Kutanda Barabarani Kuzuia Shughuli za Kichumi kwa Kufunga Barabara hizo kitu ndo Hakikubali hizo Summit wenzetu wanafanya Sehemu Maalumu hakuna Usumbufu.

Allen Mbona Kichwa chako Kimekua chepesi sana siku hizi! Ulihonga nini hadi Ukawa verified maana si Kwa Akili hizi au Kuna mtu alikutumia Applications!
Umenikumbusha miaka ya nyuma CCM na viongozi wake wakiviita vyama vya upinzani kuwa ni vya msimu wa uchaguzi na vya mifukoni!! Lakini cuf na CDM walipofanya kweli ni hao hao CCM na uongozi wa nchi wanadai siasa zimezidi!! Hii ni ajabu na kweli
 
Mbona Marekani hawatuigi sisi ambao tunauza Vyama kwa Mabilionea

Kwa Taarifa yako hiyo ni People's Summit ambayo inafanyika kwa Mwaka Mara Moja ni Si Mkutano wa Kisiasa Moja kwa Moja Unahusisha watu wengi.

Jamaa Uko Shallow sana aisee hujui hata People's Summit unaifananisha na Mikutano ya CHADEMA?
Tanzania people's summit inafanyika tarehe gani Mkuu!?!?

Inawezekana wewe uko Tanzania nyingine tofauti na Tanzania tulimo sisi!!
 
Mbona Nyinyi Juzi Kati Mlikua na Summit/Baraza la Chadema Dodoma na Mliropoka Maneno Mengi! Si inafanana na za akina Bern?
Laia wamehusikaje kwenye hiyo summit ya chadema!?!?

Kama vilaza wapo Tanzania wewe utakuwa kilaza wa kwanza!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakati Mwigulu na wana CCM wenzake wanafanya kila jitihada kuwadanganya watanzania kwamba Marekani na ulaya uchaguzi ukimalizika walioshindwa husubiri uchaguzi ujao bila ya kufanya kazi za siasa, hali halisi inaonesha kwamba huo ni uongo.

View attachment 522259
Huu ni mkutano uliofanywa Jumamosi usiku na Benn sanders aliyeingia kwenye kura za maoni ndani ya chama cha Democrat kuomba kugombea Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi wa mwaka 2016 na kushindwa na Hilary Clinton. Kwenye mkutano huu Sanders alifanya siasa zote pamoja na kumshutumu Donald Trump jinsi anavyoendesha nchi ya Marekani.

Hoja kwamba wanasiasa na vyama vilivyoshindwa uchaguzi nchinin Marekani vitasubiri mpaka 2020 ndiyo vifanye kazi za siasa Mwigulu kazitoa wapi?

Unaongelea Ulimwengu mbili tofauti, moja imestaarabika sana ingine utaarabu kwake ni msamiati!
 
Umenikumbusha miaka ya nyuma CCM na viongozi wake wakiviita vyama vya upinzani kuwa ni vya msimu wa uchaguzi na vya mifukoni!! Lakini cuf na CDM walipofanya kweli ni hao hao CCM na uongozi wa nchi wanadai siasa zimezidi!! Hii ni ajabu na kweli
Kaka umenitoa chozi kabsa... Ccm ni zaidi ya vinyonga na popo .. Wala Hermaphrodites!!
 
acha kufananisha marekani na ujinga

kule ni binadamu huku mangombe yenye mapembe marefu ya kisukuma

yanawaza ngono tu hakuna ushindani wa kukuza maisha ya watu
 
Unaongelea Ulimwengu mbili tofauti, moja imestaarabika sana ingine utaarabu kwake ni msamiati!
Haya maneno ya kusema wanaongelea ulimwengu wa tofauti na Marekani ungemwambia Mwigulu na CCM ambao wao ndiyo wanataka kuifananisha Tanzania na Marekani.
 
Kawaida yao kuropoka hata naibu wazir wa afya (HKigwaks) alisema America wana worse health system ever.... ha haaa haaa nyinyiem mnajidai kwa kuwanyima wananchi elimu la sivo mgeisha kiona cha mtema kuni....
Nenda Marekani halafu uumwe ndio utanuelewa Kigwangalah....
 
Wakati Mwigulu na wana CCM wenzake wanafanya kila jitihada kuwadanganya watanzania kwamba Marekani na ulaya uchaguzi ukimalizika walioshindwa husubiri uchaguzi ujao bila ya kufanya kazi za siasa, hali halisi inaonesha kwamba huo ni uongo.

View attachment 522259
Huu ni mkutano uliofanywa Jumamosi usiku na Benn sanders aliyeingia kwenye kura za maoni ndani ya chama cha Democrat kuomba kugombea Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi wa mwaka 2016 na kushindwa na Hilary Clinton. Kwenye mkutano huu Sanders alifanya siasa zote pamoja na kumshutumu Donald Trump jinsi anavyoendesha nchi ya Marekani.

Hoja kwamba wanasiasa na vyama vilivyoshindwa uchaguzi nchinin Marekani vitasubiri mpaka 2020 ndiyo vifanye kazi za siasa Mwigulu kazitoa wapi?
Mchunga ngombe Wa singida akasafiri mbali kusoma Dar es salaam .akasafiri mbali kufanya kazi Dodoma unategemea aseme nini zaidi ya anapo pajua na ataa kuamisha kuwa dunia nzima mambo ni sawa na aliko.dawa ni tusirudie kosa 2020
 
Wakati Mwigulu na wana CCM wenzake wanafanya kila jitihada kuwadanganya watanzania kwamba Marekani na ulaya uchaguzi ukimalizika walioshindwa husubiri uchaguzi ujao bila ya kufanya kazi za siasa, hali halisi inaonesha kwamba huo ni uongo.

View attachment 522259
Huu ni mkutano uliofanywa Jumamosi usiku na Benn sanders aliyeingia kwenye kura za maoni ndani ya chama cha Democrat kuomba kugombea Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi wa mwaka 2016 na kushindwa na Hilary Clinton. Kwenye mkutano huu Sanders alifanya siasa zote pamoja na kumshutumu Donald Trump jinsi anavyoendesha nchi ya Marekani.

Hoja kwamba wanasiasa na vyama vilivyoshindwa uchaguzi nchinin Marekani vitasubiri mpaka 2020 ndiyo vifanye kazi za siasa Mwigulu kazitoa wapi?
Si umeona hapo ni mkutano wa ndani ambao hauzuiwi?hakuna maandamano hapo
 
Marekani na ulaya uchaguzi ukimalizika walioshindwa husubiri uchaguzi ujao bila ya kufanya kazi za siasa,
Tanzania sio Marekani, Marekani ni Marekani na Tanzania ni Tanzania!. Huwezi kulinganisha mbungu na nchi!.

Kule uongozi na siasa ni utumishi wa wananchi, watu wanashughuli zao za kuwapatia kipato cha kuendesha maisha yao, tena wamejitosheleza, ndipo wanaingia kwenye siasa kwa wito wa kuwatumikia watu, huku kwetu siasa ni full time job, mtu anaingia kwenye siasa kwa njaa zao, sio ili kuwatumikia watu, bali kama full time job ya kuyatumikia matumbo yao!.

Anachofanya Magufuli ni kutoa soma kwa Watanzania, tusikalie siasa, tufanye kazi uchaguzi mwingine ni 2020, hii inamaanisha kazi ya siasa ni wakati wa uchaguzi tuu pekee, baada ya uchaguzi ni kufanya kaziya kujenga nchi na sio kukalia siasa tuu!.

NB, sisi tusio na kazi ndio huwa tunakalia siasa kutwa kucha, mfano mimi, niliyangoja kwa hamu sana yale maandamano ya UKUTA na nikaahidi kushiriki, lakini bahati mbaya yaliahirishwa!.
Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki ...

Japo Ruti ya Maandamano ya UKUTA Sio Kuelekea Direction ya Ikulu ...

Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, September ...

Paskali

Paskali
 
Mbona Marekani hawatuigi sisi ambao tunauza Vyama kwa Mabilionea

Kwa Taarifa yako hiyo ni People's Summit ambayo inafanyika kwa Mwaka Mara Moja ni Si Mkutano wa Kisiasa Moja kwa Moja Unahusisha watu wengi.

Jamaa Uko Shallow sana aisee hujui hata People's Summit unaifananisha na Mikutano ya CHADEMA?
Katengeneze kabombadia kameharibika huko eapoti!!!!!
 
Tanzania sio Marekani, Marekani ni Marekani na Tanzania ni Tanzania!. Huwezi kulinganisha mbungu na nchi!.

Kule uongozi na siasa ni utumishi wa wananchi, watu wanashughuli zao za kuwapatia kipato cha kuendesha maisha yao, tena wamejitosheleza, ndipo wanaingia kwenye siasa kwa wito wa kuwatumikia watu, huku kwetu siasa ni full time job, mtu anaingia kwenye siasa kwa njaa zao, sio ili kuwatumikia watu, bali kama full time job ya kuyatumikia matumbo yao!.

Anachofanya Magufuli ni kutoa soma kwa Watanzania, tusikalie siasa, tufanye kazi uchaguzi mwingine ni 2020, hii inamaanisha kazi ya siasa ni wakati wa uchaguzi tuu pekee, baada ya uchaguzi ni kufanya kaziya kujenga nchi na sio kukalia siasa tuu!.

NB, sisi tusio na kazi ndio huwa tunakalia siasa kutwa kucha, mfano mimi, niliyangoja kwa hamu sana yale maandamano ya UKUTA na nikaahidi kushiriki, lakini bahati mbaya yaliahirishwa!.
Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki ...

Japo Ruti ya Maandamano ya UKUTA Sio Kuelekea Direction ya Ikulu ...

Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, September ...

Paskali

Paskali
Unazo Taarifa za bombadier mkuu Pascal Mayalla?
 
Si umeona hapo ni mkutano wa ndani ambao hauzuiwi?hakuna maandamano hapo
Huo ni mfano mmojawapo tu, lakini mandamano yanafanyika kila siku huko Marekani ambako Mwigulu kapatolea mfano! Kama hata mahafali ya UDOM yalizuiliiwa itakuwa mkutano kama huo?
 
Back
Top Bottom