Kwahiyo anawapangia jinsi ya kutumia hela yao?Kaka kuwa mwelewa. anachokataa magufuri ni matajiri kutumia utajiri wao kwenye mchakato wa uchaguzi. hilo tu. si kwamba anawanyanyapaa.
Ccm ya Nyerere ilikuwa ya Wakulima na Wafanyakazi,lakini baada ya hapo CCM imekuwa ya Wafanyabiashara watupu ndio maana wamo kina Rostam AzizKaka kuwa mwelewa. anachokataa magufuri ni matajiri kutumia utajiri wao kwenye mchakato wa uchaguzi. hilo tu. si kwamba anawanyanyapaa.
Lwamadovela, mie sijamtaja JPM kokote usiniwekeee maneno mdomoni ukanizulia la kuzua. Hulka hii imeanza hata kabla JPM hajawa pale alipo.Kaka kuwa mwelewa. anachokataa magufuri ni matajiri kutumia utajiri wao kwenye mchakato wa uchaguzi. hilo tu. si kwamba anawanyanyapaa.
"mpimamstaafu, kati ya walioanzisha TANU nani alikuwa mkulima na mfanyakazi ukiacha Mwalimu?Ccm ya Nyerere ilikuwa ya Wakulima na Wafanyakazi,lakini baada ya hapo CCM imekuwa ya Wafanyabiashara watupu ndio maana wamo kina Rostam Aziz
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunazungumzia TANU au CCM?Kama ni CCM utake usitake Nyerere alisema ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi angalia nembo iliopo kwenye bendera zao,sasa hivi Robo tatu ya Wabunge wa ccm ni Wafanyabiashara wakulima hawana ubabu wa kupata hela za kuhonga wapiga kura,na ndii maana Mwenyekiti amewananga Matajiri."mpimamstaafu, kati ya walioanzisha TANU nani alikuwa mkulima na mfanyakazi ukiacha Mwalimu?
mpimamstaafu, unaitengaje CCM na TANU na TANU na wale walioianzisha?Tunazungumzia TANU au CCM?Kama ni CCM utake usitake Nyerere alisema ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi angalia nembo iliopo kwenye bendera zao,sasa hivi Robo tatu ya Wabunge wa ccm ni Wafanyabiashara wakulima hawana ubabu wa kupata hela za kuhonga wapiga kura,na ndii maana Mwenyekiti amewananga Matajiri.View attachment 1334063
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana. hawapangii.anachotaka magufuli hata yule asiye na hela apewe nafasi sawa na yule mwenye pesa. Mzee kasema gharama zote za kampeni ni za chama. Huko nyuma haikuwa hivo.Kw
Kwahiyo anawapangia jinsi ya kutumia hela yao?
ngoja tusubiri muda useme mkuu wangu.mfano kwenye chaguzi za CCM. Fomu zilikuwa zinauzwa tena kwa pesa nyingi. Kipindi cha magufuri fomu zilitolewa bure. Mwenyewe nilivuta fomu ya uenyekiti wa mkoa fulani.na mambo yalienda safi. Kwenye kura nikawa wa pili. Na sasa najipanga kugombea ubunge jimbo fulani. Ndo maana nasema tusubiri muda useme.Lwamadovela, Tanzania itakuwa sawa na peponi
Kumekuwepo na jitihada za kibaguzi za kuwanyapaa watu wanaoitwa matajiri ndani ya CCM. Hulka hii ni hatari kwa sababu ni ya kibaguzi na ubaguzi unasifa ya kuwalaani wabaguzi.
Aidha kuwanyanyapaa matajiri kwa sababu ya utajiri wao unaepuka mchango wao katika kuanzisha na kujenga TANU ambayo ndiyo CCM kwa sasa.
Hata juhudi za kujenga ujamaa duniani kupitia machapisho ya wanazuoni kama Karl Max uzingwezekana bila mchnago wa matajiri.
Karl Max alipewa na Friedrich Engels fedha za kuchapisha kitabu chake cha The Communist Manifesto kitabu ambacho kimesaidiwa kutengeza wajamaa wa leo.
Friedrich Engels (28 November 1820 – 5 August 1895) was a German philosopher, historian, communist, social scientist, sociologist, journalist and businessman. His father was an owner of large textile factories in Salford, England and in Barmen, Prussia
Hata kama siyo mchango kwa nini wasemwe na watendewe tofauti kwa sababu tu ya utajiri wao?
Unaushahidi kwamba CCM ndio imewauwa uliowataja?Ndio maana ndugu zetu waliokuwa na vipato ambao walituweka mjini wanatangulizwa kimya kimya kwa baba mwenyezi!!RIP :-Ali mufruk,ruge,mengi,super sami,Huseni macheni na watakao wafuata badae!!!!