Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Spika wa Bunge Anne Makinda (kulia), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk Mary Nagu (kushoto) na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid baada ya kufunga semina ya Wabunge kwenye ukumbi wa hoteli ya Pearl Ubungo Plaza Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Chadema ndiyo viongozi wa upinzani Bungeni lakini CCM inaonekana ingelipendelea CCM-B ambao ni CUF waendelee kuwalinda Bungeni...............Mwenye macho haambiwi tazama..............................na mwenye masikio haambiwi sikia.....................
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.