CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
 
hii thread yako haina mshiko tafuta wakina rejao wachangie huu umbea wako
 
...Huu utafiti wa magamba kupaishwa baada ya baraza la mawaziri kuvunjwa umeufanya lini na katika mikoa ipi nchini? Uliwahoji Watanzania wangapi katika mikoa hiyo hadi kujua kwamba magamba imepaishwa!? Acha kukurupuka tafakari kabla ya kuandika kitu kisichokuwa na tija....Eti Watanzania wa mashariki hadi magharibi, kaskazini mapaka kusini walikuwa wakisherehekea!!! hahahahah lol! soma alama za nyakati!!!!
 
ina maana alilala tu na kuota afanye hivyo? kwanini hakufanya hivyo siku zote? magamba @work
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

usihofu chadema ina vichwa vingi tu,itaanzisha hoja nyingine kwa sababu hoja ya katiba,hoja ya baraza la mawaziri zimeshapita.
Nashauri cdm ianze na hoja ya elimu ya chuo na sekondari bure halafu tufuatie hoja ya kushusha bei ya cement
 
Ni kweli CHADEMA inaongoza nchi.Kwa tulio na upeo mkubwa wa kuangalia mambo ni chinikizo la vyama vya upinzani na wabunge wachache wa CCM ndo wamefanya kazi hii ya ziada. Usitegee kwamba CCM watavunja baraza lao la mawaziri bila nguvu ya umma ( CHEDEMA) kutia presure. Hongereni wapinzani na kazi yanu watanzania tunaiona sasa mnatupeleka kule tulipopatamani siku nyingi. Sasa basi isiwe kuvuja baraza la mawaziri bali Vyombo vya sheria vichukue mkondo wake na zaidi ya yote na kwa vile pana ushahidi wa kutosha basi waliohusika walejeshe mali zetu kwa kufilisiwa. Tuwe na utamaduni wa kuwafilisi mafisi yanayotusumbua na hii ndio tiba ya matatizo ya taifa letu. Wenzetu wachina tulikuwa nao kwenye umasikini miaka si mingi lakini sera zao na uchungu na nchi yao na kutopenda kulindana sheria kali ya kifo imewafikisha kuwa taifa kubwa na lenye nguvu duniani kiasi kwamba hata wamarekani wanaenda kukopa China. Tusiwapige mawe bali tuwahukumu vifungo na kuwafilisi hii itakuwa fundisho. MUNGU IBARIKI TANZAINIA MUNGU,SHERIA WATENDEE HAKI WAHUSIKA.
 
Huyu jamaa aliyeleta hii thread ni mbeya, pili hoja zake hazina mashiko. Kama baba Ritz kidume basi awapeleke mahakamani then awafilisi hao wezi.

Kila jambo lahitaji hatua, step one ni kuvuliwa cheo, then vyombo husika (DPP, Mahakama) kuendeleza mchakato kufuatana na dhana mzima ya utawala bora
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
Kwa ujinga wako unadhani hivyo! Kwani ni nani waliomlazimisha kuchukua hatua hiyokama siyo Peoples Power? Si alidengua dengua eti "Yatapita tu" alipoona moto unafukuta na kwamba hata yeye hakuwa salama ndiyo sasa anachukua hatua za zimamoto? Acheni kutufanya watanzania mateka wa undondocha wenu. Na kama unabisha subiri afanye mabadiliko ya kisanii sanii yasiyokubaliwa na Peoples Power uone jinsi wananchi watakavyowaendesha. Mna akili kweli nyinyi wa magamba au zimeishia wizi na ubakaji wa ngawira za masikini wa Tanzania? Na bado mtabadili hayo mabaraza na mwisho wake na huyo kibaka wenu wa pale magogoni naye atang'oka maana 2015 sikarne ijayo.
PEOPLES POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

kweli wee kilaza nambari moja Tanzania. Unaangalia matokeo badala ya kuangalia chanzo!!!! Hoja ya kumpigia kura wm ni hoja iliyoanza na wabunge wa upinzani na sio sisi-emu, kwa hilo sisi-emu imekiri udhaifu wa serikali yake mpk inaelekezwa cha kufanya?
In whatever you plan to do, think twice and even more before you do it.
 
Back
Top Bottom