Hata hivyo wanatangaza wakisema " Katu hatutaongelea habari za CHADEMA na siasa siyo chuki". CCM wanawaogopa Chadema ile mbaya kwa sasa kisiasa na inaonekana CCM ipo kwa sababu ya polisi tu. kauli mbiu yetu kwa sasa kuelekea 2015 kama wanaCHADEMA ile "" STAAFISHA NA TAIFISHA CCM(walivyopora) KWA MANUFAAYA UMMA"".
ha ha ha kweli wameshikwa pabaya wanawapooza,mbona shibuda anasema chadema haina mvuto kanda ya ziwa duh
nimependa hiyo kauli mbiu iteengeezeeni t shirt tuvae