CCM muhurumieni Nape, ameanza kuchanganyikiwa

CCM muhurumieni Nape, ameanza kuchanganyikiwa

Ukilewa madaraka taabu kweli kweli,tabu ni kwamba mwenyekiti ni mwanamipasho,katibu kavurugwa sasa hapo kila mmoja ni waziri na rais, mtu aliyevurugwa hajui asemalo wala atendalo,je nape anauhakika hakuna kasoro kwenye hayo majengo?wewe nape ni engineer hadi uruhusu kutumika na je hiyo ni hospital ya chai chapati maharage hadi utoe amri hiyo? Au ulidhani ni njoo yako nyumbani?au tayari umeshachukua 10% yako katika ukarabati huo kama ilivyo kawaida yenu?
 
Wewe nape unapoiagiza serikali ambayo inaongozwa na jk ambaye ni mwenyekiti wa chama chako huoni kuwa unampa agizo bosi wako? Wewe unaona imekaa vizuri hiyo? Halafu usidhani watu wote humu ni wafuasi wa chadema utashindwa kuweka hoja sawa
 
Mhhh,
Siwashangai sana watu wa aina yako, maana cha kwenu sio chama cha siasa ni kundi la wanaharakati hata Mwenyekiti wenu kakiri kwamba sasa ndo mnafanya juhudi za kukigeuza kuwa chama cha siasa. Ndio maana kutojua kwanini nakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi za CCM kwa umma si jambo linaloshangaza!
Lakini hebu tafakarini hili, kwa muda mrefu hapahapa jf mlipigana vita ya kisaikolojia kuwa ahadi za jk na ilani havitekelezwi na mlikuwa mkiniuliza mie ni kwakiasi gani ahadi zinatekelezwa, sasa leo nafuatilia kuona kasi ya utekelezaji, MNAKURUPUKA BILA AIBU MNABWABWAJA MANENO YA AJABU!!
AMA KWELI NDO TABU YA KUWA WAFUASI WA KUNDI LA WANAHARAKATI BADALA YA CHAMA CHA SIASA!!



QUOTE=Bumpkin Billionare;3977484]Leo katika taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku, kwa macho yangu nikiwa mzima sijalewa nimeshuhudia jambo ambalo mpk sasa nimeshindwa kulielewa. Nape anaanza kudata au siasa za Tanzania zinaruhusu hiyo?

Nape anaonekana akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida (ambayo iko kwenye ukarabati na utanuzi) pamoja na maafisa kadhaa wa Hospitali hiyo na Magamba wenzake. Kilichonishangaza hapo ni kauli za Nape kwa wale maafisa wa hospitali.

Mara baada ya hotuba za blah blah (kama kawaida ya CCM) Nape alisema (nanukuu) ''....nitaiagiza serikali ikae na kufanyia marekebisho ya hii sheria maana inakwamisha ujenzi wa majengo ya serikali kwa.........''.

Kama haitoshi Nape ambaye mimi nimekuwa nikimfahamu kama kiongozi wa CCM na si Serikali aliongezea "Haya majengo ma3 yaliyokwisha kukamilika yaanze tu kutumika, sioni sababu za kusubiri wakati wananchi wanahitaji kuyatumia......"

Je huyu Nape amekuwa nani kiasi anaweza kuamua yeye majengo ya hospitali yaanze kutumika as if Waziri wa wizara husika na uongozi wa serikali ya Mkoa hauna mamlaka mpaka aje kuamua yeye?

Si kwamba dogo anachanganyikiwa baada ya magamba kumshinda sasa kichwa kinamruka na anapata illusions kuwa yeye ni waziri au mkuu wa mkoa wa Singida?

Imefikia wakati sasa CCM imuonee huruma huyu ndugu yetu. Majukumu waliyompa yamemzidi uwezo kiasi ameanza kuyakimbia na kuingilia kazi za watu wengine absent minded. Poor him, illusions.
[/QUOTE]

Nitarudia tena na tena na tena,Nape uwezo wako wa kuchanganua mambo na kujenga hoja ni mdogo sana tena sana,sijui position hiyo ulipewa kwa vigezo gani,maana una uwezo wa lolote zaidi ya mipasho ndio unachoweza,mfano hapa mleta hoja anahoji ni mamlaka gani uliyo nayo wewe kuamuru kuanza kwa matumizi ya majengo ya hospital,wewe unakurupuka na kuanza kutuhumu Cdm ni kundi la wanaharakati,ni hoja dhaifu sana na ya kitoto uliyovyojibu,wewe kwa uelewa wako mdogo utabaki kuiaminisha akili yako kua Cdm ni kundi la wanaharakati wakati Watanzania wote wenye akili timamu wanaelewa kua cdm ni chama cha siasa kilichosajiliwa kama chama cha siasa tena ndio chama chenye nguvu sana nchini Tanzania,na ni chama chenye maono yenye kuleta mwanga kwa Watanzania,ndio maana Watanzania wengi wenye mitazamo ya mbali na asilimia kubwa ya wasomi Wakitanzania wametokea kukipigania chama hiki!Nape jifunze kuumiza ubongo wako kwa uwezo wa kujenga hoja,wewe ni kijana,kwa nini usiwe kama wanasiasa vijana wenzako?umefikia mahali watu wanaamini kua Makamba senior alikua better sana kuliko wewe!ndio maana Wana C.C.M wenzako wametokea kukulipua na kukudharau adharani,Yusuph Makamba was right,hata Ezekiel Maige pamoja na tuhuma zake za ufisadi ila yupo sahihi sana juu ya uongozi wako ktk chama,wewe ni mmoja wa watu mnaofanya mwenyekiti wa C.c.m aonekane ameshindwa kuendesha chama,kwa kua mmeshindwa kumsaidia kwa nafasi alizowapa umebaki na porojo!India ulienda kupata elimu ya juu ili iweje?mbona kama haijakusaidia kaka??
 
Mhhh,
Siwashangai sana watu wa aina yako, maana cha kwenu sio chama cha siasa ni kundi la wanaharakati hata Mwenyekiti wenu kakiri kwamba sasa ndo mnafanya juhudi za kukigeuza kuwa chama cha siasa. Ndio maana kutojua kwanini nakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi za CCM kwa umma si jambo linaloshangaza!
Lakini hebu tafakarini hili, kwa muda mrefu hapahapa jf mlipigana vita ya kisaikolojia kuwa ahadi za jk na ilani havitekelezwi na mlikuwa mkiniuliza mie ni kwakiasi gani ahadi zinatekelezwa, sasa leo nafuatilia kuona kasi ya utekelezaji, MNAKURUPUKA BILA AIBU MNABWABWAJA MANENO YA AJABU!!
AMA KWELI NDO TABU YA KUWA WAFUASI WA KUNDI LA WANAHARAKATI BADALA YA CHAMA CHA SIASA!!



QUOTE=Bumpkin Billionare;3977484]Leo katika taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku, kwa macho yangu nikiwa mzima sijalewa nimeshuhudia jambo ambalo mpk sasa nimeshindwa kulielewa. Nape anaanza kudata au siasa za Tanzania zinaruhusu hiyo?

Nape anaonekana akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida (ambayo iko kwenye ukarabati na utanuzi) pamoja na maafisa kadhaa wa Hospitali hiyo na Magamba wenzake. Kilichonishangaza hapo ni kauli za Nape kwa wale maafisa wa hospitali.

Mara baada ya hotuba za blah blah (kama kawaida ya CCM) Nape alisema (nanukuu) ''....nitaiagiza serikali ikae na kufanyia marekebisho ya hii sheria maana inakwamisha ujenzi wa majengo ya serikali kwa.........''.

Kama haitoshi Nape ambaye mimi nimekuwa nikimfahamu kama kiongozi wa CCM na si Serikali aliongezea "Haya majengo ma3 yaliyokwisha kukamilika yaanze tu kutumika, sioni sababu za kusubiri wakati wananchi wanahitaji kuyatumia......"

Je huyu Nape amekuwa nani kiasi anaweza kuamua yeye majengo ya hospitali yaanze kutumika as if Waziri wa wizara husika na uongozi wa serikali ya Mkoa hauna mamlaka mpaka aje kuamua yeye?

Si kwamba dogo anachanganyikiwa baada ya magamba kumshinda sasa kichwa kinamruka na anapata illusions kuwa yeye ni waziri au mkuu wa mkoa wa Singida?

Imefikia
 
Mhhh,
Siwashangai sana watu wa aina yako, maana cha kwenu sio chama cha siasa ni kundi la wanaharakati hata Mwenyekiti wenu kakiri kwamba sasa ndo mnafanya juhudi za kukigeuza kuwa chama cha siasa. Ndio maana kutojua kwanini nakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi za CCM kwa umma si jambo linaloshangaza!
Lakini hebu tafakarini hili, kwa muda mrefu hapahapa jf mlipigana vita ya kisaikolojia kuwa ahadi za jk na ilani havitekelezwi na mlikuwa mkiniuliza mie ni kwakiasi gani ahadi zinatekelezwa, sasa leo nafuatilia kuona kasi ya utekelezaji, MNAKURUPUKA BILA AIBU MNABWABWAJA MANENO YA AJABU!!
AMA KWELI NDO TABU YA KUWA WAFUASI WA KUNDI LA WANAHARAKATI BADALA YA CHAMA CHA SIASA!!


Ok, kumbe unafuatilia 'utekelezaji' wa ahadi za JK!? Hebua tuambie katika hizi ahadi zimetekelezwa ngapi?


1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
31.Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
36. Kulinda haki za walemavu - Makete
37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
44.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
57.Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
58.Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60.Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
61.Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
63.kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
64.Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
65.Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
66.Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha

Jibu tafadhali.
 
Kama kawaida siasa nyingi na kukimbia mambo ya msingi.Nape hajajibu swali la msingi, yeye ni nani mpaka aamuru majengo yaanze kutumika? Hivi nchi haina taratibu na mipaka?

Nape uwezo wake ni mdogo sana,wanaomdharau na kumtuhumu anakiua chama kama kina Maige wako sahihi kabisa,huyu si aina ya mwanasiasa vijana waleta changamoto kama kina Makamba,Mnyika nk ila ni aina ya mwanasiasa anaeleta udumavu wa kifikra
 
nape nape umeshindwa kuvua magamba huko ccm una sema utaiagiza serikali mbona unajitia umaarufuu usio kufaaa bwana mdogo.. Take care.. Ya ngoswe muachie ngoswe... Endelea kupaka matope kwenye ulimwengu wa nguruwe wameisha zoea topee.. Ondoa magamba yote el..ra..jk..rk...bm...ec..,fs...is..mk..wn... Ndo homework yako nape ondoa magamba uje.. Tujenge hoja tujadiliane... Wewe kama ni mzalendo peleka hao kwa court...
 
Kitendo alichokifanya Nape leo yaani utafikiri ni kiongozi wa serikali kama RC au DC kumbe ni mtu wa chama tena upande wa propaganda!!!!

Ndiyo haya ya kumpigia salute mama Salma na kumsomea ripoti kama kiongozi wa nchi!!!!!

kwa hiyo chadema mngependa wananchi waendelee kuteseka wakati majengo tayari yamekamilika?mko kwa ajili ya wananchi au ruzuku nyie watu!
 
kwa hiyo chadema mngependa wananchi waendelee kuteseka wakati majengo tayari yamekamilika?mko kwa ajili ya wananchi au ruzuku nyie watu!

balozi wa nyumba kumi anaweza kuruhusu choo kutumika ilihali ujenzi unaendelea?au na wewe ni wale wale?nape yeye ni mhandisi?mmeshschukua 10% yenu then baada ya wiki nyufa au paa limeangukia ndugu zetu ndio raha yenu?kwendeni zenu wauaji wa watanzania. Tabu yenu nyie mnadhani kila kitu ni cdm, ucfikirie chama ila fikiria wajibu wako kwa jamii nzima
 
Wewe nape unapoiagiza serikali ambayo inaongozwa na jk ambaye ni mwenyekiti wa chama chako huoni kuwa unampa agizo bosi wako? Wewe unaona imekaa vizuri hiyo? Halafu usidhani watu wote humu ni wafuasi wa chadema utashindwa kuweka hoja sawa

Mkuu hata mimi nikusapoti sio kila mwana jf ni cdm, kimsingi Nape umekosea kutoa maelekezo kwa Mwenyekiti wako wa chama
 
kwa hiyo chadema mngependa wananchi waendelee kuteseka wakati majengo tayari yamekamilika?mko kwa ajili ya wananchi au ruzuku nyie watu!
Hivi wewe unajua hata kinachojadiliwa au umekuja na majibu yako tayari kichwani, halafu hiyo CDM mbona inawatesa sana inaingiaje hapa kwanye swala la Nape kutoa maagizo serikalini.
 
Nape siku hizi hataji tena idadi ya wanachama anaishia kusema tu CCM ina na wanachama wengi.Unataka kutuminisha kuwa Katibu wa Itikadi na Mjumbe wa NEC hanma current statistics data za wanachama wenu?
 
Mhhh,
Siwashangai sana watu wa aina yako, maana cha kwenu sio chama cha siasa ni kundi la wanaharakati hata Mwenyekiti wenu kakiri kwamba sasa ndo mnafanya juhudi za kukigeuza kuwa chama cha siasa. Ndio maana kutojua kwanini nakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi za CCM kwa umma si jambo linaloshangaza!
Lakini hebu tafakarini hili, kwa muda mrefu hapahapa jf mlipigana vita ya kisaikolojia kuwa ahadi za jk na ilani havitekelezwi na mlikuwa mkiniuliza mie ni kwakiasi gani ahadi zinatekelezwa, sasa leo nafuatilia kuona kasi ya utekelezaji, MNAKURUPUKA BILA AIBU MNABWABWAJA MANENO YA AJABU!!
AMA KWELI NDO TABU YA KUWA WAFUASI WA KUNDI LA WANAHARAKATI BADALA YA CHAMA CHA SIASA!!

Teh teh, unakagua utekelezaji wa ilani ya chama? Poor you Nape, kwani mawaziri na wakuu wa mikoa ni representative wa nani? Au kuna baadhi yao mmewachagua kutoka CHADEMA? Ukumbuke kuwa ile hospitali imejengwa kwa kodi za wanachadema, wana CUF etc. Sasa unapokwenda kukagua kiongozi wa chama implication yake ni nini? Ndiyo maana tunasema alipaswa kukagua kiongozi wa serikali ambaye ni representative wa watanzania wote bila kujali chama chake. Kitendo cha wewe kwenda kukagua kinaonyesha kwamba ile hospitali imejengwa na hela za chama. Si kazi yako kukagua, bali ni kupiga talumbeta kuwaambia watu katika ilani yetu tumetekeleza moja mbili tatu.... kulingana na taarifa utakazoletewa na wakuu wa mikoa, mawaziri, wabunge etc kupitia vikao vyenu vya chama. Nape nenda kasome majukumu yako ya kazi. Sidhani kama hili ni sehemu ya jukumu la katibu wa propaganda na uenezi.
 
kwa hiyo chadema mngependa wananchi waendelee kuteseka wakati majengo tayari yamekamilika?mko kwa ajili ya wananchi au ruzuku nyie watu!
Akili yako na Nape hazitofautiani kabisa. Kwani mtoa mada amesema anazungumza kwa niaba ya CDM? Tatizo siku zote magamba yakiweweseka lazima yataje CDM ndiyo yanapata ahueni.
 
unafuatilia kama nani serikalini, we kazi yako kubwa uliyopewa ni kupuliza vuvuzela huko kwenye kambi yenu ya majangili, si kukagua miradi iliyotekelezwa kwa kodi za wananchi
Tena kweli kabisa
 
The most painful moment one may suffer is when one realizes that there is only ONE life, and God has created him or her as STUPID as Nape Nnauye.
 
Mhhh,
Siwashangai sana watu wa aina yako, maana cha kwenu sio chama cha siasa ni kundi la wanaharakati hata Mwenyekiti wenu kakiri kwamba sasa ndo mnafanya juhudi za kukigeuza kuwa chama cha siasa. Ndio maana kutojua kwanini nakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi za CCM kwa umma si jambo linaloshangaza!
Lakini hebu tafakarini hili, kwa muda mrefu hapahapa jf mlipigana vita ya kisaikolojia kuwa ahadi za jk na ilani havitekelezwi na mlikuwa mkiniuliza mie ni kwakiasi gani ahadi zinatekelezwa, sasa leo nafuatilia kuona kasi ya utekelezaji, MNAKURUPUKA BILA AIBU MNABWABWAJA MANENO YA AJABU!!
AMA KWELI NDO TABU YA KUWA WAFUASI WA KUNDI LA WANAHARAKATI BADALA YA CHAMA CHA SIASA!!





Nape ungekuwa kundi la umri wa kina Mzee Makamba wala tusingekushangaa. Ila hebu kaachini halafu angalia hoja zako na linganisha na vijana wenzio kama Mnyika ndio utajua ni kwa nini watu wanakushangaa na bahati mbaya wale wasio na subira inabidi wakuponde au kukudharau. Acha porojo tumia muda mwingi kujisomea na kusikiliza mijadala itasaidia uwezo wako kwenda na wakati huu ili usitende kama wale wa miaka ya 60. Ni ushauri tuu,
 
Back
Top Bottom