CCM muhurumieni Nape, ameanza kuchanganyikiwa

Mhhh,
Siwashangai sana watu wa aina yako, maana cha kwenu sio chama cha siasa ni kundi la wanaharakati hata Mwenyekiti wenu kakiri kwamba sasa ndo mnafanya juhudi za kukigeuza kuwa chama cha siasa. Ndio maana kutojua kwanini nakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi za CCM kwa umma si jambo linaloshangaza!
Lakini hebu tafakarini hili, kwa muda mrefu hapahapa jf mlipigana vita ya kisaikolojia kuwa ahadi za jk na ilani havitekelezwi na mlikuwa mkiniuliza mie ni kwakiasi gani ahadi zinatekelezwa, sasa leo nafuatilia kuona kasi ya utekelezaji, MNAKURUPUKA BILA AIBU MNABWABWAJA MANENO YA AJABU!!
AMA KWELI NDO TABU YA KUWA WAFUASI WA KUNDI LA WANAHARAKATI BADALA YA CHAMA CHA SIASA!!

QUOTE=Bumpkin Billionare;3977484]Leo katika taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku, kwa macho yangu nikiwa mzima sijalewa nimeshuhudia jambo ambalo mpk sasa nimeshindwa kulielewa. Nape anaanza kudata au siasa za Tanzania zinaruhusu hiyo?

Nape anaonekana akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida (ambayo iko kwenye ukarabati na utanuzi) pamoja na maafisa kadhaa wa Hospitali hiyo na Magamba wenzake. Kilichonishangaza hapo ni kauli za Nape kwa wale maafisa wa hospitali.

Mara baada ya hotuba za blah blah (kama kawaida ya CCM) Nape alisema (nanukuu) ''....nitaiagiza serikali ikae na kufanyia marekebisho ya hii sheria maana inakwamisha ujenzi wa majengo ya serikali kwa.........''.

Kama haitoshi Nape ambaye mimi nimekuwa nikimfahamu kama kiongozi wa CCM na si Serikali aliongezea "Haya majengo ma3 yaliyokwisha kukamilika yaanze tu kutumika, sioni sababu za kusubiri wakati wananchi wanahitaji kuyatumia......"

Je huyu Nape amekuwa nani kiasi anaweza kuamua yeye majengo ya hospitali yaanze kutumika as if Waziri wa wizara husika na uongozi wa serikali ya Mkoa hauna mamlaka mpaka aje kuamua yeye?

Si kwamba dogo anachanganyikiwa baada ya magamba kumshinda sasa kichwa kinamruka na anapata illusions kuwa yeye ni waziri au mkuu wa mkoa wa Singida?

Imefikia wakati sasa CCM imuonee huruma huyu ndugu yetu. Majukumu waliyompa yamemzidi uwezo kiasi ameanza kuyakimbia na kuingilia kazi za watu wengine absent minded. Poor him, illusions.
[/QUOTE]

Sina shaka kuwa hali yako kwa sasa sio nzuri bwana Nnape..jitahidi upate muda wa kusikiliza na kusoma mambo kabla hujayazungumzia..Hoja iliyoko mezani inakutaka utueleze kwa kina..WEWE NI NANI MPAKA UFIKIE HATUA YA KUIDHINISHA MATUMIZI YA ASSETS ZA SERIKALI?
Hoja ya kutulaumu kuwa sisi tu wafuasi wa kikundi cha wanaharakati umeileta wewe na inaonesha ni kwa kiasi gani hujiamini..Hakuna aliyejitambulisha kwa habari ya chama wala ufuasi hapa...
 
Huyu ndio waziri mtarajiwa wa CCM! ama kweli nchi hii ni shamba la bibi, ,manaake mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi tena wa ngazin ya juu hata kama uwezo wake wa kufikiria una kasoro au ni hasi! Hoja ya mwenyekiti wa CDM imetoka wapi? Kwelikweli Nape ni bomu, he is waiting to blast mark my word ladies and gentlemen, muda si mwingi you will hear the blast! If it happens someone should start a new thrd for my predictions!

In Tanzania nothings are being leaders of people! How can we let the nothings lead us? Poor me! Poor my fellow Tanzanians! Poor our beautiful country!
 
Mhhh,
Siwashangai sana watu wa aina yako, maana cha kwenu sio chama cha siasa ni kundi la wanaharakati hata Mwenyekiti wenu kakiri kwamba sasa ndo mnafanya juhudi za kukigeuza kuwa chama cha siasa. Ndio maana kutojua kwanini nakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi za CCM kwa umma si jambo linaloshangaza!
Lakini hebu tafakarini hili, kwa muda mrefu hapahapa jf mlipigana vita ya kisaikolojia kuwa ahadi za jk na ilani havitekelezwi na mlikuwa mkiniuliza mie ni kwakiasi gani ahadi zinatekelezwa, sasa leo nafuatilia kuona kasi ya utekelezaji, MNAKURUPUKA BILA AIBU MNABWABWAJA MANENO YA AJABU!!
AMA KWELI NDO TABU YA KUWA WAFUASI WA KUNDI LA WANAHARAKATI BADALA YA CHAMA CHA SIASA!!

QUOTE=Bumpkin Billionare;3977484]Leo katika taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku, kwa macho yangu nikiwa mzima sijalewa nimeshuhudia jambo ambalo mpk sasa nimeshindwa kulielewa. Nape anaanza kudata au siasa za Tanzania zinaruhusu hiyo?

Nape anaonekana akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida (ambayo iko kwenye ukarabati na utanuzi) pamoja na maafisa kadhaa wa Hospitali hiyo na Magamba wenzake. Kilichonishangaza hapo ni kauli za Nape kwa wale maafisa wa hospitali.

Mara baada ya hotuba za blah blah (kama kawaida ya CCM) Nape alisema (nanukuu) ''....nitaiagiza serikali ikae na kufanyia marekebisho ya hii sheria maana inakwamisha ujenzi wa majengo ya serikali kwa.........''.

Kama haitoshi Nape ambaye mimi nimekuwa nikimfahamu kama kiongozi wa CCM na si Serikali aliongezea "Haya majengo ma3 yaliyokwisha kukamilika yaanze tu kutumika, sioni sababu za kusubiri wakati wananchi wanahitaji kuyatumia......"

Je huyu Nape amekuwa nani kiasi anaweza kuamua yeye majengo ya hospitali yaanze kutumika as if Waziri wa wizara husika na uongozi wa serikali ya Mkoa hauna mamlaka mpaka aje kuamua yeye?

Si kwamba dogo anachanganyikiwa baada ya magamba kumshinda sasa kichwa kinamruka na anapata illusions kuwa yeye ni waziri au mkuu wa mkoa wa Singida?

Imefikia wakati sasa CCM imuonee huruma huyu ndugu yetu. Majukumu waliyompa yamemzidi uwezo kiasi ameanza kuyakimbia na kuingilia kazi za watu wengine absent minded. Poor him, illusions.
[/QUOTE]

kwan wewe ni nape??????umekuja lini????
 
Kabla ya yote,nnauye jr una kadi ya uanachama wa hicho chama unachokipambania??
 
Nyinyi Kweli vilaza! Mbona hamhoji Kiongozi wa mbio za mwenge kufungua miradi ya maendeleo?
 
mhhh,
siwashangai sana watu wa aina yako, maana cha kwenu sio chama cha siasa ni kundi la wanaharakati hata mwenyekiti wenu kakiri kwamba sasa ndo mnafanya juhudi za kukigeuza kuwa chama cha siasa. Ndio maana kutojua kwanini nakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi za ccm kwa umma si jambo linaloshangaza!
Lakini hebu tafakarini hili, kwa muda mrefu hapahapa jf mlipigana vita ya kisaikolojia kuwa ahadi za jk na ilani havitekelezwi na mlikuwa mkiniuliza mie ni kwakiasi gani ahadi zinatekelezwa, sasa leo nafuatilia kuona kasi ya utekelezaji, mnakurupuka bila aibu mnabwabwaja maneno ya ajabu!!
Ama kweli ndo tabu ya kuwa wafuasi wa kundi la wanaharakati badala ya chama cha siasa!!

Nape a.k.a waziri wa afya na ustawi wa jamii. Ukithubutu kupita kule kwa maige ndugu waziri utakiona kilicho mtoa nyoka pangoni. Ila umenifurahisha kujua nawewe una wasikiliza makamanda

quote=bumpkin billionare;3977484]leo katika taarifa ya habari ya itv ya saa mbili usiku, kwa macho yangu nikiwa mzima sijalewa nimeshuhudia jambo ambalo mpk sasa nimeshindwa kulielewa. Nape anaanza kudata au siasa za tanzania zinaruhusu hiyo?

Nape anaonekana akiwa katika hospitali ya mkoa wa singida (ambayo iko kwenye ukarabati na utanuzi) pamoja na maafisa kadhaa wa hospitali hiyo na magamba wenzake. Kilichonishangaza hapo ni kauli za nape kwa wale maafisa wa hospitali.

Mara baada ya hotuba za blah blah (kama kawaida ya ccm) nape alisema (nanukuu) ''....nitaiagiza serikali ikae na kufanyia marekebisho ya hii sheria maana inakwamisha ujenzi wa majengo ya serikali kwa.........''.

Kama haitoshi nape ambaye mimi nimekuwa nikimfahamu kama kiongozi wa ccm na si serikali aliongezea "haya majengo ma3 yaliyokwisha kukamilika yaanze tu kutumika, sioni sababu za kusubiri wakati wananchi wanahitaji kuyatumia......"

je huyu nape amekuwa nani kiasi anaweza kuamua yeye majengo ya hospitali yaanze kutumika as if waziri wa wizara husika na uongozi wa serikali ya mkoa hauna mamlaka mpaka aje kuamua yeye?

Si kwamba dogo anachanganyikiwa baada ya magamba kumshinda sasa kichwa kinamruka na anapata illusions kuwa yeye ni waziri au mkuu wa mkoa wa singida?

Imefikia wakati sasa ccm imuonee huruma huyu ndugu yetu. Majukumu waliyompa yamemzidi uwezo kiasi ameanza kuyakimbia na kuingilia kazi za watu wengine absent minded. Poor him, illusions.
[/quote]
 
Masikini Nape Nnauye. Nilikuwa sijajua ni kwa nini huwa unajiita "Jr[SUP]3,[/SUP]" kumbe uko mweupe hivyo...?? Wanaharakati wengine hao hapo chini, vipi hapo unaona rahaaaaaa........ebu tabasamu kidogo kisha endelea na ulo.fa wako. Kumbe Maige amekuona, ni kweli umefunikwa na gamba zito sana kiasi cha kukufanya hata yaliyo mbele yako usiyaone wala kuyatambua. Kwani kufuatilia ahadi za JK ndo kunakupa mamlaka yasiyokuwa ya kwako, nikusaidie tu kwamba wewe una mamlaka ya kuishauri serikali yako ya CCM sio kuiagiza, pia unaweza kufuatilia kupata taarifa kamili kutoka kwa watendaji kuhusu lini hizo ahadi zinatimilika au majengo yanaanza kufanya kazi rasimi lini. Kwa taarifa tu ni kwamba hakuna anayeweza kutekeleza maagizo yako serikalini katika secta yoyote ile hata kama ni mfagiaji au mfanya usafi wa vyoo. ... recall ushauri wa Mzee wako Makamba acha KUKURUPUKA Nape Nnauye Jr[SUP]3[/SUP] .... tuition ya bure hiyo nimekupa.

"
icon1.png
M4C yavuruga Chato kwa Magufuli. CCM yaambulia vijiji 3 kati ya 11. Bendera na kadi bado kikwazo

Katika uchaguzi wa uliofanyika Katika kata mbalimbali za Chato, Magamba wamepigwa mweleka na CDM maana hata vijijini CCM haitakiwi.

VIJIJI ILIVYOSHINDA CHADEMA NI:-
1. Mjengo kata ya Mganza
2. Kazunguti Kata ya Nyamilembe
3. Mikonto Kata ya Nyamilembe
4. Izubangabo Kata ya Bwanga.
5. Majengo Kata y aBuziku
6. Kasala Kata ya Makuluguzi
7. Mwenda Kulima kata ya Ipalamasa
8. Nyakakalango kata ya Nyamilembe

CCM ni mkungo kata ya Bukome, Mwabasabi kata ya Ipalamasa, Mnekezi kata ya Ipalamasa..................."

Mhhh,
Siwashangai sana watu wa aina yako, maana cha kwenu sio chama cha siasa ni kundi la wanaharakati hata Mwenyekiti wenu kakiri kwamba sasa ndo mnafanya juhudi za kukigeuza kuwa chama cha siasa. Ndio maana kutojua kwanini nakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi za CCM kwa umma si jambo linaloshangaza!
Lakini hebu tafakarini hili, kwa muda mrefu hapahapa jf mlipigana vita ya kisaikolojia kuwa ahadi za jk na ilani havitekelezwi na mlikuwa mkiniuliza mie ni kwakiasi gani ahadi zinatekelezwa, sasa leo nafuatilia kuona kasi ya utekelezaji, MNAKURUPUKA BILA AIBU MNABWABWAJA MANENO YA AJABU!!
AMA KWELI NDO TABU YA KUWA WAFUASI WA KUNDI LA WANAHARAKATI BADALA YA CHAMA CHA SIASA!!

QUOTE=Bumpkin Billionare;3977484]Leo katika taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku, kwa macho yangu nikiwa mzima sijalewa nimeshuhudia jambo ambalo mpk sasa nimeshindwa kulielewa. Nape anaanza kudata au siasa za Tanzania zinaruhusu hiyo?

Nape anaonekana akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida (ambayo iko kwenye ukarabati na utanuzi) pamoja na maafisa kadhaa wa Hospitali hiyo na Magamba wenzake. Kilichonishangaza hapo ni kauli za Nape kwa wale maafisa wa hospitali.

Mara baada ya hotuba za blah blah (kama kawaida ya CCM) Nape alisema (nanukuu) ''....nitaiagiza serikali ikae na kufanyia marekebisho ya hii sheria maana inakwamisha ujenzi wa majengo ya serikali kwa.........''.

Kama haitoshi Nape ambaye mimi nimekuwa nikimfahamu kama kiongozi wa CCM na si Serikali aliongezea "Haya majengo ma3 yaliyokwisha kukamilika yaanze tu kutumika, sioni sababu za kusubiri wakati wananchi wanahitaji kuyatumia......"

Je huyu Nape amekuwa nani kiasi anaweza kuamua yeye majengo ya hospitali yaanze kutumika as if Waziri wa wizara husika na uongozi wa serikali ya Mkoa hauna mamlaka mpaka aje kuamua yeye?

Si kwamba dogo anachanganyikiwa baada ya magamba kumshinda sasa kichwa kinamruka na anapata illusions kuwa yeye ni waziri au mkuu wa mkoa wa Singida?

Imefikia wakati sasa CCM imuonee huruma huyu ndugu yetu. Majukumu waliyompa yamemzidi uwezo kiasi ameanza kuyakimbia na kuingilia kazi za watu wengine absent minded. Poor him, illusions.
[/QUOTE]

​
 
Nyinyi Kweli vilaza! Mbona hamhoji Kiongozi wa mbio za mwenge kufungua miradi ya maendeleo?

Hivi nyie magamba mnakurupuka kurupuka tu hata hamjua nini mnaongea, thread ngapi zimelalamikia Mwenge zikihoji faida zake nk. kuwa mnasoma nyie vijana wa Nape Nnauye msiwe Junior kama yeye...Ritz, mizizi na wengineo .... someni jamani ili mjue kutafiti mambo na sio kuropoka ropoka tu hata ambapo hamjui!!
 
Mhhh,
Siwashangai sana watu wa aina yako, maana cha kwenu sio chama cha siasa ni kundi la wanaharakati hata Mwenyekiti wenu kakiri kwamba sasa ndo mnafanya juhudi za kukigeuza kuwa chama cha siasa. Ndio maana kutojua kwanini nakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi za CCM kwa umma si jambo linaloshangaza!
Lakini hebu tafakarini hili, kwa muda mrefu hapahapa jf mlipigana vita ya kisaikolojia kuwa ahadi za jk na ilani havitekelezwi na mlikuwa mkiniuliza mie ni kwakiasi gani ahadi zinatekelezwa, sasa leo nafuatilia kuona kasi ya utekelezaji, MNAKURUPUKA BILA AIBU MNABWABWAJA MANENO YA AJABU!!
AMA KWELI NDO TABU YA KUWA WAFUASI WA KUNDI LA WANAHARAKATI BADALA YA CHAMA CHA SIASA!!

Ok, kumbe unafuatilia 'utekelezaji' wa ahadi za JK!? Hebua tuambie katika hizi ahadi zimetekelezwa ngapi?

1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
31.Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
36. Kulinda haki za walemavu - Makete
37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
44.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
57.Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
58.Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60.Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
61.Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
63.kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
64.Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
65.Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
66.Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha

Jibu tafadhali.
 
70. Bandari ya Kigoma kuwa kama Dubai - Kigoma
71. Kujenga barabara za kupitia juu kwa juu DSM kuanzia Januari 2011 - DSM
 
Msilaumu kila kitu wajameni kama mtu karuhusu majengo ya tumike tena ya hospitali halafu mnapiga kelele tena...mnataka ndugu zetu wafe? badilikeni sio kila kitu ni kibaya
 
Nitarudia tena na tena na tena,Nape uwezo wako wa kuchanganua mambo na kujenga hoja ni mdogo sana tena sana,sijui position hiyo ulipewa kwa vigezo gani,maana una uwezo wa lolote zaidi ya mipasho ndio unachoweza,mfano hapa mleta hoja anahoji ni mamlaka gani uliyo nayo wewe kuamuru kuanza kwa matumizi ya majengo ya hospital,wewe unakurupuka na kuanza kutuhumu Cdm ni kundi la wanaharakati,ni hoja dhaifu sana na ya kitoto uliyovyojibu,wewe kwa uelewa wako mdogo utabaki kuiaminisha akili yako kua Cdm ni kundi la wanaharakati wakati Watanzania wote wenye akili timamu wanaelewa kua cdm ni chama cha siasa kilichosajiliwa kama chama cha siasa tena ndio chama chenye nguvu sana nchini Tanzania,na ni chama chenye maono yenye kuleta mwanga kwa Watanzania,ndio maana Watanzania wengi wenye mitazamo ya mbali na asilimia kubwa ya wasomi Wakitanzania wametokea kukipigania chama hiki!Nape jifunze kuumiza ubongo wako kwa uwezo wa kujenga hoja,wewe ni kijana,kwa nini usiwe kama wanasiasa vijana wenzako?umefikia mahali watu wanaamini kua Makamba senior alikua better sana kuliko wewe!ndio maana Wana C.C.M wenzako wametokea kukulipua na kukudharau adharani,Yusuph Makamba was right,hata Ezekiel Maige pamoja na tuhuma zake za ufisadi ila yupo sahihi sana juu ya uongozi wako ktk chama,wewe ni mmoja wa watu mnaofanya mwenyekiti wa C.c.m aonekane ameshindwa kuendesha chama,kwa kua mmeshindwa kumsaidia kwa nafasi alizowapa umebaki na porojo!India ulienda kupata elimu ya juu ili iweje?mbona kama haijakusaidia kaka??[/QUOTE]

Sidhani kama Nape atarudi tena hapa... Inauma sana kaka Nape kaa jifikirie vizuri ujue kabisa hakuna mtu yoyote .. narudia tena, mtu yoyote Mtanzania anayefurahishwa na unayoyasema. Ni hicho cheo chako tuu ndo kinakufanya uweze kujipendekeza mbele ya umma wa Watanzania.
 
Je, umesoma na kuelewa mada inahusu nini au umezinduka tu na kuandika......??

Msilaumu kila kitu wajameni kama mtu karuhusu majengo ya tumike tena ya hospitali halafu mnapiga kelele tena...mnataka ndugu zetu wafe? badilikeni sio kila kitu ni kibaya
 
Sidhani kama Nape atarudi tena hapa... Inauma sana kaka Nape kaa jifikirie vizuri ujue kabisa hakuna mtu yoyote .. narudia tena, mtu yoyote Mtanzania anayefurahishwa na unayoyasema. Ni hicho cheo chako tuu ndo kinakufanya uweze kujipendekeza mbele ya umma wa Watanzania.
 
Nape amekuwa mufilisi wa kisiasa kwenye umri mdogo sana bora Makamba alifikia hatua hii umri ukiwa umemtupa mkono
 
Leo katika taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku, kwa macho yangu nikiwa mzima sijalewa nimeshuhudia jambo ambalo mpk sasa nimeshindwa kulielewa. Nape anaanza kudata au siasa za Tanzania zinaruhusu hiyo?

Nape anaonekana akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida (ambayo iko kwenye ukarabati na utanuzi) pamoja na maafisa kadhaa wa Hospitali hiyo na Magamba wenzake. Kilichonishangaza hapo ni kauli za Nape kwa wale maafisa wa hospitali.

Mara baada ya hotuba za blah blah (kama kawaida ya CCM) Nape alisema (nanukuu) ''....nitaiagiza serikali ikae na kufanyia marekebisho ya hii sheria maana inakwamisha ujenzi wa majengo ya serikali kwa.........''.

Kama haitoshi Nape ambaye mimi nimekuwa nikimfahamu kama kiongozi wa CCM na si Serikali aliongezea "Haya majengo ma3 yaliyokwisha kukamilika yaanze tu kutumika, sioni sababu za kusubiri wakati wananchi wanahitaji kuyatumia......"

Je huyu Nape amekuwa nani kiasi anaweza kuamua yeye majengo ya hospitali yaanze kutumika as if Waziri wa wizara husika na uongozi wa serikali ya Mkoa hauna mamlaka mpaka aje kuamua yeye?

Si kwamba dogo anachanganyikiwa baada ya magamba kumshinda sasa kichwa kinamruka na anapata illusions kuwa yeye ni waziri au mkuu wa mkoa wa Singida?

Imefikia wakati sasa CCM imuonee huruma huyu ndugu yetu. Majukumu waliyompa yamemzidi uwezo kiasi ameanza kuyakimbia na kuingilia kazi za watu wengine absent minded. Poor him, illusions.

Hivi kwani alishajiuzulu u Dc?yawezekana amepitiwa kuwa bado ni mkuu wa wilaya
 
Back
Top Bottom