Wanataka kubariki Ufisadi kwenye nchi hiiIle kampuni yake ya Richard Monduli aka Richmond nasikia ndiyo iliyobeba jukumu la kuwabeba maafisa Kilimo wanne wanne kila wilaya, kila moja 120,000/= daaah!
Kutangaza form tu fedha zote hizi!
Tusema Hapana kwa Mafisadi Tarehe 25/10/2015. Kwenye box la kuraHivi watanzania wenzangu kwanini tusiungane kukataa ufisadi na mafisadi kunajisi Ikulu yetu? Pamoja na kwamba Nyerere si mara zote yupo sahihi lakini alikwishatutahadharisha juu ya rais aliyepo madarakani sasa ndugu Kikwete na ki-ukweli mzee yule hakukosea. Sote tu mashahidi wa jinsi Kikwete anavyovurunda na kuharibu hata ile misingi ya taifa letu, amani. Muda ungalirudishwa nyuma hakika Kikwete asingepata urais
Alitutahadharisha pia juu ya Lowassa. Na kwa kweli tusijaribu aslani. Sumu haijaribiwi kwa kulamba
Watanzania ndio wajinga wanashabikia ujinga
Kwa ninachojua mimi hizo data ni za kupikwa na team WAMA propaganda zinazoendelea humu JF ,WATSAPP NA FACEBOOK Ni uzushi wa kupikwa
Kamanda Tatizo la Ccm wanafikiri Watanzania baado niwajinga
Wewe unayesema zakupikwa nenda katenge koo upate kisuzwa lakini watanzania wamesema ndio mwisho wenu
Jibu Hoja Mtarejeshaje hizo hela watanzania wamechoka na UfisadiThread za kupigia porojo hizi....
Ila Arusha na Tanzania sasa Gumzo ni uzinduzi wa SAFARI YA MATUMAINI.
Watanzania wazalendo ndio tumechangisha mpaka senti zetu za mwisho ili kufanikisha tukio hili.
VIVA CCM, VIVA LOWASSA!
Watanzania ndio wajinga wanashabikia ujinga
Hata ccm wanaletaga ushaidi wa Ufisadi?Cha kwanza sina chama but nachukia sna watu wanaopika fitna toa ushaidi wa kauli yako.
Kama sio porojo zisio kuwa na maana.
Nishawishi kama unapoint ya mashiko juu ya hizo tuuma ninahamini umeziokota tuu huko kwenye mitandao mingine.
Dah umeongea vitu vingi vingi kisha unaviacha hewani hewani!!!
Thread za kupigia porojo hizi....
Ila Arusha na Tanzania sasa Gumzo ni uzinduzi wa SAFARI YA MATUMAINI.
Watanzania wazalendo ndio tumechangisha mpaka senti zetu za mwisho ili kufanikisha tukio hili.
VIVA CCM, VIVA LOWASSA!
kamanda hawa wanasema eti wako kwenye safari ya Matumaini wakati watanzania wameshawajua wako kwenye safari ya MatamanioCCM majambazi na sasa hivi wanagombania kuibia watanzania lakini waelewe tu mwak huu watashika nafasi ya tatu...