CCM Mtarejeshaje Gharama Hizi?

CCM Mtarejeshaje Gharama Hizi?

Kwa Magufuri nampa √

Tatizo la nchi hii siyo mtu. Tatizo la nchi hii ni mfumo. Ili tuondokane na kero ya mfumo ulioshindwa kazi, mfumo unaotudhalilisha, ni lazima sasa watanzania waiondoe ccm madarakani ili heshima ya nchi yetu irudi
 
Jambazi sugu na fisadi papa lowasa kamwe hawezi kuwa rais wa tz. Ni mwizi ana fitina hana hoja hawezi kujieleza. Hana ubobezi wa aina yoyote.
Nguvu yake kubwa ni kinunua watz kwa nguvu ya pesa.
 
ndio wamesahau watanzania sasa hivi wanasema Kula ccm kulala Chadema
 
kama habari hii ni ya kweli basi ni balaa mbele kwa mbele, na mwisho wa siku, ni nyasi kuumia!
 
Kamanda Tatizo la Ccm wanafikiri Watanzania baado niwajinga
kweli wengi bado wajinga kwani wanakimbilia kujiandikisha ili wapate vitambulisho vya kutumia katika mambo mengine kabisa badala ya kupigia kula. ati kitamsaidia kuombea mkopo
 
Tusema Hapana kwa Mafisadi Tarehe 25/10/2015. Kwenye box la kura

Swali langu ni moja tu, Je unaamini Tume ya Uchaguzi ya Jaji Lubuva inao uwezo wa kukataa matakwa ya CCM na kumtangaza mgombea wa UKAWA mshindi wa Urais?

Vv
 
Tatizo la nchi hii siyo mtu. Tatizo la nchi hii ni mfumo. Ili tuondokane na kero ya mfumo ulioshindwa kazi, mfumo unaotudhalilisha, ni lazima sasa watanzania waiondoe ccm madarakani ili heshima ya nchi yetu irudi

Ni kweli mkuu, mzalendo yeyote mwenye akili timamu hawezi kuendekeza ushabiki wa kisiasa na kuweka utaifa chini, ndugu zetu wangapi wanakufa kwa kukosa huduma bora za afya, leo hii watu wanatumia fedha nyingi kujitukuza!! "lakini ajikwezaye atashushwa" Mtu, kikundi cha watu, Taasisi au Chama chochote Kisichopingana na dhuluma na Ufisadi, KILAANIWE MILELE, WOTE TUSEME AMINA.
 
Swali langu ni moja tu, Je unaamini Tume ya Uchaguzi ya Jaji Lubuva inao uwezo wa kukataa matakwa ya CCM na kumtangaza mgombea wa UKAWA mshindi wa Urais?

Vv

Marandu alisema hata sisi tunaweza tangaza wenyewe
 
kweli wengi bado wajinga kwani wanakimbilia kujiandikisha ili wapate vitambulisho vya kutumia katika mambo mengine kabisa badala ya kupigia kula. ati kitamsaidia kuombea mkopo
Ndio Maana tunazunguka Tanzania nzima kutoa somo
 
Back
Top Bottom