CCM Mtarejeshaje Gharama Hizi?

CCM Mtarejeshaje Gharama Hizi?

Mmmmmh!!! Kwa kweli huyu fisadi anataka kununua madaraka kwa gharama yeyote! Kuna nini?

Hakika huku mbele tunakoelekea kuna kazi!

Lowassa ni janga lingine la nchi yetu ndugu zangu!
 
Marandu alisema hata sisi tunaweza tangaza wenyewe

Kiongozi, Marando akimtangaza mgombea wa UKAWA kuwa mshindi hata kama ameshinda ndiye atamwapisha? Lkn ni vema ujue kuwa Jaji Lubuva akigeuza matokeo na kumtangaza aliyeshindwa kuwa mshindi huyo ndiye ataapishwa.

UKAWA washinikize kuundwa Tume huru ya Uchaguzi kama Wenyeviti wa vyama vya siasa (akiwemo Kikwete) walivyokubaliana mwaka jana, kuwa iundwe Tume huru ya Uchaguzi ambayo itasimamia Uchaguzi wa mwaka 2015.

Vv
 
Back
Top Bottom