CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

Anarafiwa huyo
Ajabu sana mkuu hebu soma comments humu ujionee mwenyewe watu wanao jiita ma GT wanacho kijadili.

Eti hadi Leo hii mtu anadai kuwa Magufuli kafa kwasababu hakuwa na utumishi ulio tukuka.

Anasema angekuwa na utumishi ulio tukuka angekuwa hai mpaka Leo.

Inamaana ma GT watu wenye akili kubwa humu wanaamini kuwa mtu akiwa kiongozi tu basi huwa hafi hadi amalize uongozi na akifa tu anakufa kwasababu yeye ni mtenda dhambi. Kwahiyo viongozi wote walio kufia madarakani duniani kote walikuwa watu wabaya sana ndio maana wakafa!!

Hongera sana ma GT wote Kwa mawazo yenu chanya.
 
Kwa hiyo waliotangulia wote mbele za haki walikuwa sio wema walifanya madhambi mengi huwa Mungu anawaua wadhambi ana waacha watu wema nipe jibu nakusubiri?
Mkuu hao ndio watu wanao jisifu humu kuwa wana akili nyingi sana hadi zinacheua.
 
Ila nyie watu mnatuchanganya kwakwel mara hamuitaki CCM saiv tena mnasema ccm isitulete viongozi kama wa awamu ya 5 sasa nauliza juhudi zetu nikuitoa CCM madarakani au nikuzuia hiyo ccm isitulete viongozi kama wa awamu ya 5 lakin iendelee kutawala daima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kusema Magufuli alikuwa mbaya?
We unaona alikuwa mzuri? Aliharibu uchumi,umoja wa Kitaifa,mbaguzi na mkabila afu akaharibu na mahusiano ya kimataifa na Nchi jirani.

Huku akifanya ufisadi na waliomzunguka wakijitajirisha na kuvimbiwa afu wanawafariji maskini kwa maneno ya uzalendo na Tzn ya wanyonge 🤣🤣
 
Hivi unaongea au unatapika uko na akili timamu kweli kwa hiyo waliokufa wote walikuwa hawana utumishi uliotukuka
Comments nyingine inabidi uzielewe kwa kujiongeza kufikiri.
Na ndio maana ya Great Thinkers.

Sasa kama kufikiri huwezi hilo haliwezi kuwa tatizo kwa wengine elewa ulivyoelewa.
 
Ndio zenu,kusingizia watu wengine ni wezi wakati katika awamu ya tano Prof Assad na Kicher

Bora Magufuri aliyekuwa anatuibia lakini anatujengea Nchi,Kanunua ndege ambayo ilikuwa kama kununua ndege kama Nchi nikitu ambacho kilikuwa eti akiwezekani kwenye miundombinu ndio usiseme, Kikwete kakaa Miaka 10 kaacha kajenga stendi ya daladala mbezi na madowans kibao ya kunyonya nchi
e walianika uozo hadharani.Bo
 
Aina ya uongozi kama ule wa Awamu ya Tano ulikuwa balaa kwa mustakabali wa umoja wa nchi yetu.

Sina haja ya kurudia madhambi mabaya ya Awamu ya Tano maana kila mtu yalimgusa...
Mtu kama Jakaya kufanya kazi akiwa amesimamiwa na Azimia la Arusha ni ngumu sana na hawezi toboa! Ila mtu kama Magufuli ingekuwa rahisi!

Japo sijamuona Mwalimu kwenye utawala wake lakini naamini Mwalimu angemuona Magufuli angempenda sana! Na lazima angejisena huyu ndiye mimi.
 
We unaona alikuwa mzuri? Aliharibu uchumi,umoja wa Kitaifa,mbaguzi na mkabila afu akaharibu na mahusiano ya kimataifa na Nchi jirani.

Huku akifanya ufisadi na waliomzunguka wakijitajirisha na kuvimbiwa afu wanawafariji maskini kwa maneno ya uzalendo na Tzn ya wanyonge
We kabira gani kwani?
 
Haya sasa umepata viongozi wanaokula kwa urefu wa kamba! Subiri Riziwani ajimegee kwanza ekari zake! Vipi kwanza hapo ulipo kuna umeme?
 
Kwahiyo viongoz wote waliokufa mfano Maalim Seif naye alikua kiongoz muovu ndio maana kafa?
Akili yako haina akili . Sukuma GANG mnajitahidi sana kutetea maiti, ila Kwa kweli Magufuli asafishiki.
Samia kashituka kawaachia zigo lenu…
 
Back
Top Bottom