CCM msituletee tena Rais kama Hayati Magufuli

Kuna CCM iliyokachokwa kupita CCM ya Kikwete? CCM ya kikwete ata kuvaa unform cha chama haikuwa tofauti na kutembea uchi maana utazomewa mpaka bas!
 
Acha ujinga wewe. Kama mtu anafuga mavi tunataka rais anamwambia. Mtu mjinga au fisadi na mbinafsi ndio wanajidai hawakuona nini magufuli alifanya. Wanajidai hawakuona ila kupotosha maneno yake ya ukali.
 
Kuna CCM iliyokachokwa kupita CCM ya Kikwete? CCM ya kikwete ata kuvaa unform cha chama haikuwa tofauti na kutembea uchi maana utazomewa mpaka bas!
Ya Magufuli ndio CCM ya hovyo, tatizo watu walivaa sare za CCM kujipendekeza. Na ukivaa sare za upinzani unatekwa, kuuwawa au kupewa kesi.
Yule mzee alaaniwe.
Limeshalaaniwa, maana kifo chake tu ni wazi kuwa ni laana
 
Hili ni jamabazi na lifisadi kabisa, kwa kweli magufuli alitufumbua macho na akili anayebisha muache.
Kweli nyie ni wapumbavu.
Magufuli kawaigizia mnamwona bonge la kichwa.
Tangu aulizwe alipozificha 1.5 trillion hakuwahi kutoa majibu kamili.
Watanzania wengi ni wajinga.
 
Sisi tunamkumbuka kwa UDIKTETA, UWONGO na WIZI wa Mali ya umma. Nyie akina Father of All mtamkumbuka kwa kuwaita WANYONGE
Kukumbuka ni kukumbuka tu iwe ni kwa ubaya au uzuri Magufuli atakumbukwa. Wema watamkumbuka kwa wema na wabaya kwa ubaya. Maskini watamkumbuka kama kiboko ya mafisadi na mafisadi watamkumbuka kama dikteta, muongo na mwizi wakati wao ndiyo wezi wakubwa wanaopaswa kuchomwa moto
 
Moto umeanza kumchoma yeye Magufuli na mafisadi wenzie akina Mfugale na Kijazi
 
Ya Magufuli ndio CCM ya hovyo, tatizo watu walivaa sare za CCM kujipendekeza. Na ukivaa sare za upinzani unatekwa, kuuwawa au kupewa kesi.
Yule mzee alaaniwe.
Limeshalaaniwa, maana kifo chake tu ni wazi kuwa ni laana
Mvi mlikiwa na hoja gani kipindi cha Magufuli? Sasahivi mnaomba tu mama aboronge mpate mahala pakushikia basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…