CCM msituletee tena Rais kama Hayati Magufuli

Safari hii rais atakuwa mheshimiwa mbowe
 
Huyo kateuliwa na Shetani na si mara ya Kwanza kutokea hivyo tumewaona Hitler,Idd Amin,Papa Doc Duvellier,Bokassa,Nguema na wengine wengi tangu enzi ya Farao wa Mussa wa Wayahudi.
Rais kama JPM hakuletwa na CCM. Na haitakuwa mara ya mwisho kuwa na Rais wa style ya JPM au hata zaidi. Hujui kwamba uongozi anayetoa ni Mwenyezi Mungu?
 
Aloo ndo maana Diallo alisema "mnatuletea mtu ana cheti mirembe"
 
Vijana wa lumumba Punguzeni matusi ,,,nyinyi ndio wenye nchi...mnapokamuliwa kende na vijana wa ufipa tulieni tu...
Wengine tunatafuta Chama Cha kujiunga kiwe Cha mwendakuzimu au mwenda mahabusu....

Jengeni hoja lumumbalism guys.
 
Waambie
Vijana wa lumumba Punguzeni matusi ,,,nyinyi ndio wenye nchi...mnapokamuliwa kende na vijana wa ufipa tulieni tu...
Wengine tunatafuta Chama Cha kujiunga kiwe Cha mwendakuzimu au mwenda mahabusu....

Jengeni hoja lumumbalism guys.
 
Huyo kateuliwa na Shetani na si mara ya Kwanza kutokea hivyo tumewaona Hitler,Idd Amin,Papa Doc Duvellier,Bokassa,Nguema na wengine wengi tangu enzi ya Farao wa Mussa wa Wayahudi.
Na hawatakaa kuisha. Lazima tuwe na institutions imara. Tusijidanganye kuwa tuna maarifa ya kuzuia baadhi ya mambo haya
 
Atakumbukwa na nyinyi tu misukule yake na sukuma gang wa Chato. Let him rot in hell
fwaki yu hata wewe utamkumbuka. Kama humkumbuki ulimtaja wa nini kumbaff wewe ni wa kuniita baba wa baba na mama yako msukule kumxxa we?
 
Rais kama JPM hakuletwa na CCM. Na haitakuwa mara ya mwisho kuwa na Rais wa style ya JPM au hata zaidi. Hujui kwamba uongozi anayetoa ni Mwenyezi Mungu?
Mimi kakiongezea nyama kitabu changu cha ujasiriamali ,kumbe unaweza kushindwa kufanya biashara hata kama una mtaji, ama elimu ya ujasiriamali
 
Tulikuwa pabaya sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…