CCM msituletee tena Rais kama Hayati Magufuli

Niletee Gwajima mwaka 2025
 
ILI LITAKUWA NI JIZI LA MALI ZA UMA BILA SHAKA YOYOTE
CCCM nadhani wakati wanampitisha kama mgombea wao hawakumu-consult Dk.Diallo Mana alikuwa na siri kubwa juu ya mgombea huyo. Mana alikuja kutupa mrejesho baadaye. CCM mjifunze kuyapitia mafaili ys wagombea wenu kwa umakini mlituletea balaa.

Chama cha mafisadi CCM kinatakiwa kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kwani kinachangia kwa asilimia kuubwaaa kuwafanya watanzania wazidi kuhangamia kwenye rindi la umaskini na ufukara wa fikra ulioota mizizi nchi nzima
 
Ujinga wako ndio unakufanya uwe maskin ccm unaisingizia,
shule walikuibia hela yako ya ada waombe wakurudishie
 
Ebu wacha kufuru wewe chawa wa mwendazake .

Hii dunia kama mipango yetu ingekuwa final, Mobutu asingefia Morocco. Tusijisahau sana kama vile tuna control ya kila kitu. By the nashukuru kwa kunipa cheo cha uchawa wa mwendazake. Ntakienzi na kukitunza daima🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…