Ebu wacha kufuru wewe chawa wa mwendazake .Rais kama JPM hakuletwa na CCM. Na haitakuwa mara ya mwisho kuwa na Rais wa style ya JPM au hata zaidi. Hujui kwamba uongozi anayetoa ni Mwenyezi Mungu?
Kwani ukiandika bila kutumia maneno yenye ukakasi unaona huwezi kueleweka?Magufuli alikukojoza vizuri sana mleta mada, haushi kumsema mtu aliyekufa ambaye hawezi kujitetea ona ata aibu tumbili wewe.
Yaani huyo bwege kweli kila siku Magufuli! Stupid!Hii mimba ya Magufuli unajifungua lini?
Kula malimao na ndimu kwa sana kuepuka kichefuchefu
Na ndio ilikuwa kauli yake ya mwisho hadharani kabla ya kufa.CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Bado ninatafuta jibu la swali langu kwenye hii comment yako silioni, itapendeza zaidi ukinionesha hilo jibu.Broo hata wapinzani nao ni CCM. Wale wana/mna hubiri upinzani ila wandani wenye vyama ni wazalendo wafia nchi. Baadhi yenu mmepumbazwa akili na hili hamlioni. Kwa mfumo huu wa miili kuwa upinzani huku roho ikiwaza CCM unatarajia meli ije airport?
Akili za kijinga sana hizi ndio.maana marehemu Komba alisema yoyote akiteuliwa na CCM kugombea Urais tayari kawa Rais kutokana na Katiba mbayaCCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Hata Nyerere alishawahi kutengwa na jumuiya ya kimataifa pale ambapo tulionekana kuwa na ukaribu sana na mataifa ya KIKOMUNISTI kama URUSI+CHINA wakati ule wa Vita baridi....Hatukujua kuwa nasi ipo siku tunge nyooshewa vidole na hata kutengwa na jumuia za kimataifa.
Nimetoka kapa hapo
Hao watu wa hali ya chini Magufuli aliwasaidia nini ??Kwa wananchi wa hali ya kawaida, Huyo usiyemtaka ndiye alikuwa kipenzi chao.
Aligusa mioyo yao.
😍Hili ndo jibu sahihi. Tena hao wapinzani uchwara wamemfanya mama kaze buti.
Inawezekana nikaonekana Kama niliyekunywa maji ya bendera....Hiyo hati miliki ya CCM kutuletea Rais walipewa na nani?
Mkuu unajielewa kwelCCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Hawa kupenda kumleta maji yaliwafika shingoni.CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Hata wamarekani walimleta Mh.TRUMP.....kuna kipindi binadamu anastahiki kufanya maamuzi magumu yanayoendana na CHANGAMOTO KUBWA za kipindi husika......Hawa kupenda kumleta maji yaliwafika shingoni.
Yakiwafika tena watamleta tu hamna namna
wew ndio uliona ataish milele hakuna sehem ali-declare atishi mileleNa ndio ilikuwa kauli yake ya mwisho hadharani kabla ya kufa.
Jamaa alijiona ataishi Milele!