Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,959
- Thread starter
- #61
Kwa hali inavoonesha sasa ni Rasmi- Attention ya mtu mweupe ipo Tanzania.4. Afute mi kesi kesi ya kubambikiziana na kukomoana za kisiasa
5. Aanzishe uchunguzi huru wa wote waliopotea, kutekwa na kujeruhiwa..
Kuna kila dalili kuwa kuanzia sasa wanafuatilia mawasiliano ya viongozi wote wakuu akiwemo mzee na wameshajua kuwa mzee hana support ya kutosha kuanzia ndani ya Chama hadi nje.
Sasa ni sehemu muhimu kwa Chama kumshauri mzee na mzee kusikiliza kwa maana mzee akianguka ni Chama kimeanguka.
Tulitangaza vita bila kujiandaa
Tulibeep sasa wao wamepiga