MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Kwani unayoiuliza maswali ni pasi yake au ni kampuni ya TWAWEZA?Huoni hicho kikundi cha kijeshi kimeshikilia passport yake?
Kwani unayoiuliza maswali ni pasi yake au ni kampuni ya TWAWEZA?Huoni hicho kikundi cha kijeshi kimeshikilia passport yake?
Kwani unayoiuliza maswali ni pasi yake au ni kampuni ya TWAWEZA?
Sioni hoja yoyote ya maana unayotaka kuijenga zaidi ya kutaka kunishinda kwa uzoefu wako wa kuwa mjinga. Ngoja niishie hapa nisije kuwa sawa na kiwango chako cha ujinga.Huwezi kujua point yangu kwa sababu kama nilivyosema, tatizo ujinga wako umechanganyikana na upumbavu!
Kama ingekuwa ni ujinga pekee nadhani ingekuwa ni rahisi kukuelimisha, hata hivyo nitajitahidi kukuelimisha polepole!
Msiseme hamkuonywa au hamkuambiwa.
Chukueni hatua kumshauri Mh. Raisi afanye yafuatayo
1. Awaondoe Waziri wa Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani-
2. Afanye maamuzi juu ya kesi za Wanaharakati - Ziondolewe zote.
3. Asitishe baadhi ya sheria hasa zilizopigiwa kelele.
Narudia tena, wakati ndio sasa msipoangalia hawa jamaa wanaenda kuwa surprise kwenye uchaguzi mkuu.
They now mean business na mnaenda kuwa KANU ya kenya.
Asanteni
Endeleeni kumpotosha Mzee. We unaona kampuni tatu kufile notice ya kushtaki Serikali ndani ya siku 7 tena kwenye mwaka wa uchaguzi ni jambo la kawaida eeh??
Unadhani Tanzania kuwekwa kwenye Ban list something that has never happened before ni jambo la kawaida eeh????
Lord.Nafikiri una upeo mdogo sana na siasa za dunia hii zinavyoenda. Samahani kwa kukwambia ukweli ndugu
sio uonevu wameamua kututetea dhidi ya uovu.Watanzania wajinga kweli, mmarekana amekasirishwa na msimamo wa Tanzania kigomea kuwapa majina ya watanzania, kama ushirikiano wa terrorism, kila nchi ina haki ya kuchunga watu wake na kuhifadhi siri zao.
Kama USA wangekuwa na tatizo na viongozi wa serekali ya magufuli, Ban wangeekewa jao viongozi sio nchi nzima. Mfano kenya, kuna viongozi wabadhirifu ambao wamekula rushwa na kuiba mali za umma, hao wamenyimwa visa za USA .
Hii tabia ya kushanikia uonevu tunaofanyiwa na mataifa ya watu weupe, ni utumwa, hili lingefanywa na nchi ya kiafrika, tingeona matusi na kelele nyingi, lakini kwa ngozi nyeupe tunasujudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Onyo lilitoka mapema ... hiyo thread ya 2016 imo humu jukwaani BUT mpumbavu akikuingiza chaka nawe ukijua hapo ni nani kamzidi mwenzie?Nchi hii hamna aliyefika kiwango cha kuwa Msaliti. Tatizo ni kuwa kuna kundi la wajanja wasio na exposure waliomzunguka Mh. Raisi ambao kila siku wamekuwa wakimuingiza Chaka na kumpa tensions zisizostahili
Mahiga alikuwa 'International figure' huyu prof. wa jalalani sidhani kama anaweza kumsaidia raisi kutoka hapa tulipoWizara ya Mambo ya nje mrudisheni mahiga huyo boya mwenye macho makubwa hamna kitu humo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri umeishia hapo??Msiseme hamkuonywa au hamkuambiwa.
Chukueni hatua kumshauri Mh. Raisi afanye yafuatayo
1. Awaondoe Waziri wa Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani-
2. Afanye maamuzi juu ya kesi za Wanaharakati - Ziondolewe zote.
3. Asitishe baadhi ya sheria hasa zilizopigiwa kelele.
Narudia tena, wakati ndio sasa msipoangalia hawa jamaa wanaenda kuwa surprise kwenye uchaguzi mkuu.
They now mean business na mnaenda kuwa KANU ya kenya.
Asanteni
Hizo notisi zitapita. Makesi yatapita. Uchaguzi utapita. CCM itashinda. Na ninyi mtaendelea kudhahania.Endeleeni kumpotosha Mzee. We unaona kampuni tatu kufile notice ya kushtaki Serikali ndani ya siku 7 tena kwenye mwaka wa uchaguzi ni jambo la kawaida eeh??
Unadhani Tanzania kuwekwa kwenye Ban list something that has never happened before ni jambo la kawaida eeh????
4. Afute mi kesi kesi ya kubambikiziana na kukomoana za kisiasaMsiseme hamkuonywa au hamkuambiwa.