Watanzania wajinga kweli, mmarekana amekasirishwa na msimamo wa Tanzania kigomea kuwapa majina ya watanzania, kama ushirikiano wa terrorism, kila nchi ina haki ya kuchunga watu wake na kuhifadhi siri zao.
Kama USA wangekuwa na tatizo na viongozi wa serekali ya magufuli, Ban wangeekewa jao viongozi sio nchi nzima. Mfano kenya, kuna viongozi wabadhirifu ambao wamekula rushwa na kuiba mali za umma, hao wamenyimwa visa za USA .
Hii tabia ya kushanikia uonevu tunaofanyiwa na mataifa ya watu weupe, ni utumwa, hili lingefanywa na nchi ya kiafrika, tingeona matusi na kelele nyingi, lakini kwa ngozi nyeupe tunasujudu.
Sent using
Jamii Forums mobile app