TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,206
- 25,399
Kamba ukata jiwe..!
Unaweza kusema hivyo ila kiuhalisia kila mwanaccm anajua na kufahamu fika kuwa chama kimepata mtu hasa!
Ni nani wa kumfunga paka kengere HAKUNA.
Mwamba hakujua nguvu aliyo nayo kutokana na nafasi aliyokalia na hii imeonekana ndani ya miaka mitatu iliyopita baada ya hapo ndipo kiburi, umwamba na kuanza kunyoosha makucha, baadaye anasema "mimi ndiye rais wa nchi hii, nikisema nimesema"
Hapo ndipo unaweza kupata picha kwa nini mzee Kinana aliamua kusema wazi kuwa "NAOMBA MSAMAHA" hapo ndipo kika mtu ajue chama 'kimepata mtu hasa' na mwaka huu wengi hawasemi, wapo kimya (wanaccm) ila wanalazimishwa wapande jukwaani wapige kampeni na ole wako ukatae au kutoa sababu.