CCM mpya imetugawa sana Watanzania

CCM mpya imetugawa sana Watanzania

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,353
Ninapozungumzia CCM mpya ninamaanisha hii CCM iliyoibuka kuanzia 2015, kuna wanaoiita CCM ya Magufuli. Matatizo yalianzia kwenye kusimamisha shughuli za ziasa kwa vyama vya upinzani baada ya uchaguzi.

Kazi ya vyama vya upinzani zaidi ya kuikosoa serikali ni kutoa elimu ya uraia kwa wananchi na wanachama wao. Faida ya elimu ya uraia ni kumuwezesha mtu kufanya maamuzi katika maisha yake akiwa na upeo na uelewa.

Nunua nunua ya wabunge na madiwani ilivunja morali wa siasa kwa wengi. Hata wale wagombea wasio na ushawishi katika jamii, wengi walipata kura kwakua tu walikuwa wagombea wa upinzani. Wananchi waliunganisha nguvu wakitegema wanaing’oa CCM na watu hawa walipata kura zlizolindwa na wananchi usiku kucha mpaka walitangazwa washindi. Baada ya uchaguzi Polepole anapopita kufanya ziara za kukiimarisha chama, kesho yake madiwani na wabunge wanaunga mkono juhudi.

Ninawapongeza wabunge wa upinzani waliokataa kupitisha miswaada kwa kushinikizwa na Spika Pamoja na wabunge walio wengi wa CCM. CCM inaposema wabunge wa upinzani huwa wanasusia vikao na kutoka nje, wawe wanaeleza pia sababu za wabunge hao kutoka nje.

Hili la kupita bila kupingwa limeitia CCM doa kubwa. Mama Samia akiwa anafanya kampeni Ludewa, mbunge na madiwani karibu wote wamepita bila kupingwa. Katika ushindani mpinzani wako akikuzidi kwa asilimia 90, kuna dalili kuwa ulie shindana nae ana matatizo au ulimminya kwa mbinu zote asipate ushindi. Cha ajabu huko CCM hata viongozi wakubwa katika serikali wamepita bila kupingwa kwenye majimbo yao.
 
Unajua mi nilikuwa nakuchukulia poa kishenz kumbe upstate uko fiti hivi
 
Sifa yao kuu ni wabaguzi, wadhalimu, wauaji, Hawako tayari kukosolewa, wanafiki, watu wa kujipendekeza na maslahi binafsi zaidi na mbaya zaidi hawana akili
 
Unapomtawala mtu bila ridhaa yake ipo siku atapata nguvu ya kumtoa katika utawala huo. Na nguvu hiyo ikitokea hakuna anaeweza kuhimili kishindo chake.
 
Hawajui vilaza hawa. Wakiona wanalindwa na bunduki zao za miaka ya 70 wanaona dunia yote yao. Kumbe wako kwenye hatari kubwa zaidi ya wanavyodhani!
 
Huo utafiti unaohitimisha kuwa CCM mpya imewagawa sana watanzania umeufanyia wapi na lini?

Hizi siasa za kwenye mitandao zinajenga Tanzania ya kufikirika ambayo haina uhalisia wowote hasa kwa watu wenye fikra hasi/tenge!
 
Ninapozungumzia CCM mpya ninamaanisha hii CCM iliyoibuka kuanzia 2015, kuna wanaoiita CCM ya Magufuli. Matatizo yalianzia kwenye kusimamisha shughuli za ziasa kwa vyama vya upinzani baada ya uchaguzi.

Kazi ya vyama vya upinzani zaidi ya kuikosoa serikali ni kutoa elimu ya uraia kwa wananchi na wanachama wao. Faida ya elimu ya uraia ni kumuwezesha mtu kufanya maamuzi katika maisha yake akiwa na upeo na uelewa.

Nunua nunua ya wabunge na madiwani ilivunja morali wa siasa kwa wengi. Hata wale wagombea wasio na ushawishi katika jamii, wengi walipata kura kwakua tu walikuwa wagombea wa upinzani. Wananchi waliunganisha nguvu wakitegema wanaing’oa CCM na watu hawa walipata kura zlizolindwa na wananchi usiku kucha mpaka walitangazwa washindi. Baada ya uchaguzi Polepole anapopita kufanya ziara za kukiimarisha chama, kesho yake madiwani na wabunge wanaunga mkono juhudi.

Ninawapongeza wabunge wa upinzani waliokataa kupitisha miswaada kwa kushinikizwa na Spika Pamoja na wabunge walio wengi wa CCM. CCM inaposema wabunge wa upinzani huwa wanasusia vikao na kutoka nje, wawe wanaeleza pia sababu za wabunge hao kutoka nje.

Hili la kupita bila kupingwa limeitia CCM doa kubwa. Mama Samia akiwa anafanya kampeni Ludewa, mbunge na madiwani karibu wote wamepita bila kupingwa. Katika ushindani mpinzani wako akikuzidi kwa asilimia 90, kuna dalili kuwa ulie shindana nae ana matatizo au ulimminya kwa mbinu zote asipate ushindi. Cha ajabu huko CCM hata viongozi wakubwa katika serikali wamepita bila kupingwa kwenye majimbo yao.
Ccm mpya iliingia ikiwa na njaa kali hivyo miaka mitano ya kwanza from 2015 -2020 ilikuwa ni kumonopolize wealth kwanza through miradi ya kimalaya iliyovikwa taji la ubikra.
 
Ccm mpya ccm tumboni
 
Ccm mpya iliingia ikiwa na njaa kali hivyo miaka mitano ya kwanza from 2015 -2020 ilikuwa ni kumonopolize wealth kwanza through miradi ya kimalaya iliyovikwa taji la ubikra.
Hii miradi mikubwa inapewa kipaumbele kwakua viongozi wanapata10%. Isingekuwa hivyo nguvu kubwa ongekends kwenye kilimo na miradi ya jamii. Kilimo kinaajiri 50+ ya rais hasa vijijini.
 
Nyumbxxxx wa Ufipa raha sana, propaganda za kitoto namna hii hazitawasaidia CDM, jiandaeni tu kisaikolojia, 28 Oct mnaenda kuvuna matusi, kejeli na ujinga wenu.
 
Hawajui vilaza hawa. Wakiona wanalindwa na bunduki zao za miaka ya 70 wanaona dunia yote yao. Kumbe wako kwenye hatari kubwa zaidi ya wanavyodhani!
Idadi ya wagombea wa upinzani walioenguliwa katika uchaguzi huu kulinganisha na wagombea wa CCM ni takwimu mojawapi.
 
Kwa kifupi kwa bara hakuna hata mgombea mmoja wa Ccm aliyeenguliwa. Jana nimesikia ZEC wamezuga kwa kumuengua 1 huku wakiengua 15 wa ACT
 
Huo utafiti unaohitimisha kuwa CCM mpya imewagawa sana watanzania umeufanyia wapi na lini?

Hizi siasa za kwenye mitandao zinajenga Tanzania ya kufikirika ambayo haina uhalisia wowote hasa kwa watu wenye fikra hasi/tenge!
Majanga yakimkuta kada wa CCM basi upande wa pili wanashangilia and vise versa!Sasa hapo huoni siasa za awamu hii zimetugawa?Rejea kigwangala alivyopata ajali!Rejea mtoto wa Mbowe alivyopata Corona!
Tumefika huko!
 
Kwa kifupi kwa bara hakuna hata mgombea mmoja wa Ccm aliyeenguliwa. Jana nimesikia ZEC wamezuga kwa kumuengua 1 huku wakiengua 15 wa ACT
Maana yake ni kuwa CCM wanatuamulia watu wa kutuongoza tuwapende tusiwapende. Tunaweza kujadili maendeleo katika hali hii?
 
Ninapozungumzia CCM mpya ninamaanisha hii CCM iliyoibuka kuanzia 2015, kuna wanaoiita CCM ya Magufuli. Matatizo yalianzia kwenye kusimamisha shughuli za ziasa kwa vyama vya upinzani baada ya uchaguzi.

Kazi ya vyama vya upinzani zaidi ya kuikosoa serikali ni kutoa elimu ya uraia kwa wananchi na wanachama wao. Faida ya elimu ya uraia ni kumuwezesha mtu kufanya maamuzi katika maisha yake akiwa na upeo na uelewa.

Nunua nunua ya wabunge na madiwani ilivunja morali wa siasa kwa wengi. Hata wale wagombea wasio na ushawishi katika jamii, wengi walipata kura kwakua tu walikuwa wagombea wa upinzani. Wananchi waliunganisha nguvu wakitegema wanaing’oa CCM na watu hawa walipata kura zlizolindwa na wananchi usiku kucha mpaka walitangazwa washindi. Baada ya uchaguzi Polepole anapopita kufanya ziara za kukiimarisha chama, kesho yake madiwani na wabunge wanaunga mkono juhudi.

Ninawapongeza wabunge wa upinzani waliokataa kupitisha miswaada kwa kushinikizwa na Spika Pamoja na wabunge walio wengi wa CCM. CCM inaposema wabunge wa upinzani huwa wanasusia vikao na kutoka nje, wawe wanaeleza pia sababu za wabunge hao kutoka nje.

Hili la kupita bila kupingwa limeitia CCM doa kubwa. Mama Samia akiwa anafanya kampeni Ludewa, mbunge na madiwani karibu wote wamepita bila kupingwa. Katika ushindani mpinzani wako akikuzidi kwa asilimia 90, kuna dalili kuwa ulie shindana nae ana matatizo au ulimminya kwa mbinu zote asipate ushindi. Cha ajabu huko CCM hata viongozi wakubwa katika serikali wamepita bila kupingwa kwenye majimbo yao.
CCM mpya ni watu waoga na wenye ufahamu na maarifa kidogo.
 
Maana yake ni kuwa CCM wanatuamulia watu wa kutuongoza tuwapende tusiwapende. Tunaweza kujadili maendeleo katika hali hii?
Utajadili wapi??? Hawa dawa yao tunapiga kura na kuzilinda mwaka huu, wakituletea majeshi kutupiga tunaomba msaada Marekani asogeze wanajeshi wao walio kwenye kambi pale Djibouti
 
Ndani ya ccm hauruhusiwi kuwa na akili za kufikiri kwa kuwa ukifikiri tofauti na wao wanakushughulikia
 
Imetugawa sana dada yangu, yani siku hizi nikimuona mtu anashabikia CCM namuona kama shetani, serikali iliyoshindwa kukemea utekaji, watu kupotea wasijulikane walipo zaidi ya miaka mitatu ( Ben, Azory), kushambuliwa viongozi wa upinzani na kubambikiwa kesi (Lissu, Mbowe, Mdee, Bulaya. na wengine), hakika hii serikali imetufanya watanzania tuchukiane wakati siasa sio uadui, ni upinzani tu, simply weka sera zako mezani niweke zangu watanzania wachague wanayoipenda.
 
Huo utafiti unaohitimisha kuwa CCM mpya imewagawa sana watanzania umeufanyia wapi na lini?

Hizi siasa za kwenye mitandao zinajenga Tanzania ya kufikirika ambayo haina uhalisia wowote hasa kwa watu wenye fikra hasi/tenge!
Makada wenzio yameshaanza kuwakuta wamemwambia Bashiru asiwatishe, wewe sijui unaishi kijiji gani usiejua nini kinaendelea Tz, au ni mahaba ya kishamba uliyonayo kwa huyo mharibifu yanakufumba macho na akili huoni wala kufikiria chochote.
 
Imetugawa sana dada yangu, yani siku hizi nikimuona mtu anashabikia CCM namuona kama shetani, serikali iliyoshindwa kukemea utekaji, watu kupotea wasijulikane walipo zaidi ya miaka mitatu ( Ben, Azory), kushambuliwa viongozi wa upinzani na kubambikiwa kesi (Lissu, Mbowe, Mdee, Bulaya. na wengine), hakika hii serikali imetufanya watanzania tuchukiane wakati siasa sio uadui, ni upinzani tu, simply weka sera zako mezani niweke zangu watanzania wachague wanayoipenda.
Kukatazwa kumchangia Tundu Lissu damu na kumfanya maombi hadharani. Kwakifupi kitendo cha kumbuka Tundu Lissu ubunge na kumnyima matibabu. kiliwakera wengi mno.
 
Back
Top Bottom