ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Yaonekana huna hoja, ndo maana waokoteza tu cha kusema. Mtoa mada alikulenga kisawasawa. Ugua pole.Kweli kama matumizi ya ruzuku za chama zaidi ya mill 300 + laki tano tano za wabunge wakati ofisi ni kiosk cha mbowe..
Masuala ya kutweza utu wa wabunge wa kike unaofanywa na mwenyekiti..
Mpeleke TRA, Polisi.Kwani hiyoruzuku wanayopewa chadema ni kodi ya mbowe?? Mbowe mwenyewe kwanza halipi kodi..anakula tu jasho la wanyonge
We kweli ulikuwa unaatamia mayai..topic za miaka iliyopita unajibu leo..hongera kwa kutotoa.Yaonekana huna hoja, ndo maana waokoteza tu cha kusema. Mtoa mada alikulenga kisawasawa. Ugua pole.
Mbona unatuletea Uchafu Humu,Kila siku mnatengeneza "movies" za kijinga na kufanya mambo ya hovyo sana kiasi kwamba mnawapa shida watetezi wenu wa mitandaoni. Kila jambo mnaboronga, mnadhani hao mliowaweka mitandaoni wawatetee nao ndiyo hawana hisia za utu kabisa?
Yaani mnadhani kusema uongo na kutetea ujinga unaoonekana shayiri dhahiri kwamba ni ujinga ni kazi rahisi? Mnadhani wao hawajui kwamba wanatetea mambo ya hovyo yanayodhuru taifa lao na vizazi vyao vijavyo?
Au mnadhani kwa kuwa "wanalipwa" basi watakuwa ni watumwa wa kusema yasiyowezekana na kuaminika kila siku? Hata kama wanatumia majina bandia lakini mjue na wao wanaujua ukweli hata kama wanaupindisha, siku ukweli ukizidi kina cha uwezo wao wa kuupindisha mjue watatapika hata yale msiyoyafikiria kwamba wanaweza kuyasema.
OLE WENU CCM!
Bado uko hoi vilevile. Ugua pole.We kweli ulikuwa unaatamia mayai..topic za miaka iliyopita unajibu leo..hongera kwa kutotoa.
Kwa nini ni Uchafu?Mbona unatuletea Uchafu Humu,
Niwe hoi kwani mi nimetaga yai na kuatamia?Bado uko hoi vilevile. Ugua pole.
Kipi ulichoandika Hapo Cha Maana SasaKwa nini ni Uchafu?
Lugha ya wasio na hoja. Over and out.Niwe hoi kwani mi nimetaga yai na kuatamia?
Nakutakia malezi mema ya vifaranga.Lugha ya wasio na hoja. Over and out.
Jibu swali. uchafu wake ni nini?Kipi ulichoandika Hapo Cha Maana Sasa
Hili alilisema Kikwete miaka hiyo,Sasa wewe Kama hulipwi bali unapayuka payuka tu bure,am so sorry for youUnajichanganya sana allen..unaonekana mgeni wa siasa..habari za kulipwa una ushahidi nazo??
Then ccm inajichanganya kwa lipi sasa..hebu fafanua ili ujibiwe..
Kabla wanasiasa wa ccm hawajaona fursa kwenye elimu shule za umma zilikuwa Bomba sanaNikiwa Ifunda Tech. those good days...Wakati huo vipanga tunasoma Government schools.....
Kumbe we bado unaishi jana..pole sanaHili alilisema Kikwete miaka hiyo,Sasa wewe Kama hulipwi bali unapayuka payuka tu bure,am so sorry for you
thibitisha
Awamu hii kwakweli watetezi wa CCM mitandaoni wanapata tabu sana.
Kuna wengine wameamua kuwa na ID mbilimbili,wanakosoa huku na kusifia katika zile tulizozoea. Yani wanang'ata na kupuliza.
thibitisha
Awamu hii kwakweli watetezi wa CCM mitandaoni wanapata tabu sana.
Kuna wengine wameamua kuwa na ID mbilimbili,wanakosoa huku na kusifia katika zile tulizozoea. Yani wanang'ata na kupuliza.
Unataka kusema huyu wa Leo kakata malipo so mnapayuka payuka bure tu,no wonder Johnbaptist yupo Kama hayupoKumbe we bado unaishi jana..pole sana