Baada ya majina ya wagombea kupitishwa, sasa umezuka mtindo wa kila jimbo, kila kata kulazimisha mapingamizi ili wagombea wa CCM wapite bila kupingwa. Huu ni uzembe na uhayawani wa chama kikongwe. Miaka zaidi ya 50 bado CCM mnawaza kukataa kushindana!...
Rules are Rules, kama mtu kakosea kujaza fomu na apigwe pinBaada ya majina ya wagombea kupitishwa, sasa umezuka mtindo wa kila jimbo, kila kata kulazimisha mapingamizi ili wagombea wa CCM wapite bila kupingwa. Huu ni uzembe na uhayawani wa chama kikongwe. Miaka zaidi ya 50 bado CCM mnawaza kukataa kushindana!..
CCM wamechoka kuiba.Baada ya majina ya wagombea kupitishwa, sasa umezuka mtindo wa kila jimbo, kila kata kulazimisha mapingamizi ili wagombea wa CCM wapite bila kupingwa. Huu ni uzembe na uhayawani wa chama kikongwe. Miaka zaidi ya 50 bado CCM mnawaza kukataa kushindana!..
Baada ya majina ya wagombea kupitishwa, sasa umezuka mtindo wa kila jimbo, kila kata kulazimisha mapingamizi ili wagombea wa CCM wapite bila kupingwa. Huu ni uzembe na uhayawani wa chama kikongwe. Miaka zaidi ya 50 bado CCM mnawaza kukataa kushindana!..
mie naona bora upinzani kususia tu uchaguzi huu, hakuna namna watatangazwa washindi...sanasana wataachiwa majimbo mawili matatu tuu ya kuzugia...Jiwe ni katili hakuna mfano ndo maana alitaka kumtoa uhai JL na hakika karma itamlipa!!!.CCM wamechoka kuiba.
Wameamua kunyang'anya na kupora.
Duh,, akili iliyojaa utoko hii!Ushindi ni ishindi tu uwe wa matuta au dk 90!
Uko sahihi mkuuMhe Tundu alimuwekea pingamizi Mhe Magufuli, Rais wa Tanzania, sasa kuna tatizo gani au dhambi gani kama the same trend cascades down to the lowest grade yaani mtindo huo ushuke kutoka ngazi za juu mpaka kwa madiwani/sheiya?? Acheni kulalama hiyo ndiyo trend(mwendo halali kwa wale waliojaza vibaya fomu zao!
Unaweza kususia mtu mwenye akili timamu lakini hawa na kiongozi wao, unaona dalili za aibu?mie naona bora upinzani kususia tu uchaguzi huu, hakuna namna watatangazwa washindi...sanasana wataachiwa majimbo mawili matatu tuu ya kuzugia...Jiwe ni katili hakuna mfano ndo maana alitaka kumtoa uhai JL na hakika karma itamlipa!!!.