MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Yaani chaguzi zenu zote kuanzia udiwani hadi ubunge majimbo na viti maalum washindi kila mahali inasemekana zimetawaliwa na rushwa na haya yanathibitishwa na wajumbe wenyewe waliopokea milungula hiyo. TAKUKURU ni kama hawajaona hivi, ni kama wanaogopa hivi.
Waombeni TIS wawasaidie Kama hamuelewi.
Wenye uwezo wa kiakili na kiuongozi na wenye uzoefu wameshindwa na wenye pesa. Fanyeni uchunguzi katika kila jimbo.
Sikiliza hii vidio,
Waombeni TIS wawasaidie Kama hamuelewi.
Wenye uwezo wa kiakili na kiuongozi na wenye uzoefu wameshindwa na wenye pesa. Fanyeni uchunguzi katika kila jimbo.
Sikiliza hii vidio,