Source07
Senior Member
- Oct 5, 2018
- 196
- 352
Leo hii bodi ya ligi nchini(TPBL)imetangaza kufungia UWANJA wa Benjamin Mkapa kwa muda USIOJULIKANA hadi hapo matengenezo yatakapo kamilika..hivyo mechi zote za msimu2020/21 zilizopangwa kuchezewa hapo zimehamishiwa UWANJA wa UHURU "Shamba la Bibi"...Aidha pia bodi imeufungia UWANJA wa JAMHURI JIJINI DODOMA kutumika kwa michezo yote ya Ligi kuu na ligi daraja la kwanza mpaka pale marekebisho yatakapo kamilika..hivyo timu zote zinatumia UWANJA huo zitatumia viwanja vya Morogoro na Iringa hii ikiwa na maana kwa timu za ligi kuu watatumia UWANJA wa Morogoro na zile zaligi daraja lakwanza zitakua kule mkoani Iringa
My take:
Viwanja hivi vimekuja kufungiwa ikiwa nikutokana na ubovu wa sehem ya kuchezea"pitch"...na ubovu umetokana na CCM kuvitumia viwanja hivi kuendesha campaign zao huku zikiambatana na "fiesta" Sasa mwanakulitafuta mwanakuliget!tunao umia nisisi wapenzi wa soka tusiokua na ushabiki na siasa tulionya Jambo hili mapema tu lakin tulipuuzwa humu zaidi tukapewa kebehi....!!
K/Koo Derby huenda ikapigwa Kwa Bibi(Uhuru) tujiandae kwa hilo au kupigwa calendar mbele yote yanawezekana!