CCM mmeridhika sasa? Bodi ya ligi ya tanganza kuufunga uwanja wa BMW kwa muda usiojulikana!

Source07

Senior Member
Oct 5, 2018
196
352
Leo hii bodi ya ligi nchini(TPBL)imetangaza kufungia UWANJA wa Benjamin Mkapa kwa muda USIOJULIKANA hadi hapo matengenezo yatakapo kamilika..hivyo mechi zote za msimu2020/21 zilizopangwa kuchezewa hapo zimehamishiwa UWANJA wa UHURU "Shamba la Bibi"...Aidha pia bodi imeufungia UWANJA wa JAMHURI JIJINI DODOMA kutumika kwa michezo yote ya Ligi kuu na ligi daraja la kwanza mpaka pale marekebisho yatakapo kamilika..hivyo timu zote zinatumia UWANJA huo zitatumia viwanja vya Morogoro na Iringa hii ikiwa na maana kwa timu za ligi kuu watatumia UWANJA wa Morogoro na zile zaligi daraja lakwanza zitakua kule mkoani Iringa

My take:
Viwanja hivi vimekuja kufungiwa ikiwa nikutokana na ubovu wa sehem ya kuchezea"pitch"...na ubovu umetokana na CCM kuvitumia viwanja hivi kuendesha campaign zao huku zikiambatana na "fiesta" Sasa mwanakulitafuta mwanakuliget!tunao umia nisisi wapenzi wa soka tusiokua na ushabiki na siasa tulionya Jambo hili mapema tu lakin tulipuuzwa humu zaidi tukapewa kebehi....!!
K/Koo Derby huenda ikapigwa Kwa Bibi(Uhuru) tujiandae kwa hilo au kupigwa calendar mbele yote yanawezekana!
 
Acha kudanganya wenzio, meneja wa uwanja wa mkapa alisema uwanja umefungwa kwa sababu wanategemea kupisha shughuli za kiserikali zitakazofanyika hapo na uwanja kwa ujumla uko vzr kila sehemu.
 
Acha kudanganya wenzio, meneja wa uwanja wa mkapa alisema uwanja umefungwa kwa sababu wanategemea kupisha shughuli za kiserikali zitakazofanyika hapo na uwanja kwa ujumla uko vzr kila sehemu...
Kwani mkuu wewe kinachokutesa nikipi?

Kwani Kuna hela ya ukarabati watakutaka utoe kutoka mfukoni mwako?

Kwani hizo timu zinazotumiaga huo uwanja kuchezea VPL Zina miaka mingapi toka zianzishwe?

Maoni yangu: Enyi Bodi husika Inatakiwa msifungie kabisa hizi timu za Simba na Yanga kutumia huo uwanja mpaka pale watakapo pata akili ya kujenga na kutumia viwanja vyao wenyewe.

Kama Azam waliweza iweje Hawa wakongwe wasiweze?
 
Acha kudanganya wenzio, meneja wa uwanja wa mkapa alisema uwanja umefungwa kwa sababu wanategemea kupisha shughuli za kiserikali zitakazofanyika hapo na uwanja kwa ujumla uko vzr kila sehemu...
Kwahy tukuamini wewe au meneja wa uwanja?
 
Kwani mkuu wewe kinachokutesa nikipi?

Kwani Kuna hela ya ukarabati watakutaka utoe kutoka mfukoni mwako?...
Huko kwenye Simba na Yanga nakuunga mkono ila kwenye ukarabati siyo kwamba hela inatoka mfukoni kwangu tu Bali hata kwako...na siyo kwako tu mpaka kwa yule Bibi au babu aliyopo kule mwisho kabisa mwa Tanzania hii maana gharama ya UWANJA ule unahidumiwa kwa Kodi zetu mkuu.

Hivyo inauma na kuudhi kuona unaharibiwa just kwa maslahi ya Chama fulani Cha siasa...Ni ifike hatua tutenganishe shughuli za Chama na Mali za Serikali..maana ule so UWANJA wa Chama Ni wa Taifa...!
 
Leo hii bodi ya ligi nchini(TPBL)imetangaza kufungia UWANJA wa Benjamin Mkapa kwa muda USIOJULIKANA hadi hapo matengenezo yatakapo kamilika..hivyo mechi zote za msimu2020/21 zilizopangwa kuchezewa hapo zimehamishiwa UWANJA wa UHURU "Shamba la Bibi"...
Hiyo bodi ya michezo inatumika na mabeberu kuhujumu taifa letu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu kweli Simba na Yanga kutumia viwanja hivi.

Tumeonesha uwendawazimu kwa kuharibu pitch ya Uwanja kwa sababu za kisiasa.
 
Leo hii bodi ya ligi nchini(TPBL)imetangaza kufungia UWANJA wa Benjamin Mkapa kwa muda USIOJULIKANA hadi hapo matengenezo yatakapo kamilika..hivyo mechi zote za msimu2020/21 zilizopangwa kuchezewa hapo zimehamishiwa UWANJA wa UHURU "Shamba la Bibi"...Aidha pia bodi imeufungia UWANJA wa JAMHURI JIJINI DODOMA kutumika kwa michezo yote ya Ligi kuu na ligi daraja la kwanza mpaka pale marekebisho yatakapo kamilika..hivyo timu zote zinatumia UWANJA huo zitatumia viwanja vya Morogoro na Iringa hii ikiwa na maana kwa timu za ligi kuu watatumia UWANJA wa Morogoro na zile zaligi daraja lakwanza zitakua kule mkoani Iringa

My take:
Viwanja hivi vimekuja kufungiwa ikiwa nikutokana na ubovu wa sehem ya kuchezea"pitch"...na ubovu umetokana na CCM kuvitumia viwanja hivi kuendesha campaign zao huku zikiambatana na "fiesta" Sasa mwanakulitafuta mwanakuliget!tunao umia nisisi wapenzi wa soka tusiokua na ushabiki na siasa tulionya Jambo hili mapema tu lakin tulipuuzwa humu zaidi tukapewa kebehi....!!
K/Koo Derby huenda ikapigwa Kwa Bibi(Uhuru) tujiandae kwa hilo au kupigwa calendar mbele yote yanawezekana!
CCM ni chukizo ilaaniwe
 
Wanamichezo tuna jambo letu 28/Oktoba.
Dawa ni kuitoa CCM madarakani ili tukomboe viwanja vyetu vilivyoporwa na CCM na tukomeshe siasa za kiCCM zilizolazimishwa kuingizwa michezoni.
 
Kwanini Simba na yanga wasitengeneze viwanja vyao wakaepuka na manyanyaso?
Pitches za Uwanja wa michezo ni kwa ajili ya michezo aina husika sio vinginevyo; kwa viwanaja vya soka, pitches ni kwa ajili ya wachezaji 22 tu sasa unapopoleka watu elfu 1o kurukaruka kwenye uwanja wa watu 22 ni uharibifu na utovu wa maarifa.

Vv
 
2015 serikali ilitoa mwongozo na msimamo kuhusu kuutumia uwanja wa taifa (uwanja wa Mkapa), na kusema uwanja ule ni mali ya serikali na utatumika kwa shughuli za michezo husika tu, na mwiko kutumika kisiasa.

Sasa sijui nini kimeifanya serikali kuwaruhusu CCM kuutumia ule uwanja 2020?
 
Hata hivyo kama siyo kulazimisha tu, uwanja wa Mkapa ni wa fisiem? Kama ni uwanja wa Taifa, je cdm, act, chauma au chama kingine chochote kinaweza kufanyia kampeni zake za kisiasa pale? Mambo mengine ni kiburi na kujikweza pasipo sababu. Fisiem wangetakiwa kutafuta eneo jingine la kufanyia kampeni zake, siyo uwanja uliojengwa kwa kodi za wananchi wa vyama vyote na wale wasiokuwa na vyama.

Kuonyesha kwamba mambo ya kijinga na kipumbavu hatutaki, ni kukiondoa chama dola madarakani ili kunusuru mali zetu zisiendelee kuharibiwa na wajinga/wapumbavu kama ilivyotokea kwa Mkapa.
 
Wenye nchi YAO ndo wameshaamua
Pitches za Uwanja wa michezo ni kwa ajili ya michezo aina husika sio vinginevyo; kwa viwanaja vya soka, pitches ni kwa ajili ya wachezaji 22 tu sasa unapopoleka watu elfu 1o kurukaruka kwenye uwanja wa watu 22 ni uharibifu na utovu wa maarifa.

Vv
 
Yeah man, politics trumps your soccer fanatism , according to them. Distraction of the pitch is your problem. We care the less.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom