CCM mmeridhika sasa? Bodi ya ligi ya tanganza kuufunga uwanja wa BMW kwa muda usiojulikana!

Kwani mkuu wewe kinachokutesa nikipi?

Kwani Kuna hela ya ukarabati watakutaka utoe kutoka mfukoni mwako?

Kwani hizo timu zinazotumiaga huo uwanja kuchezea VPL Zina miaka mingapi toka zianzishwe?

Maoni yangu: Enyi Bodi husika Inatakiwa msifungie kabisa hizi timu za Simba na Yanga kutumia huo uwanja mpaka pale watakapo pata akili ya kujenga na kutumia viwanja vyao wenyewe.

Kama Azam waliweza iweje Hawa wakongwe wasiweze?
Wanasubiri mfalme wa murocco akijenga wa dodona.akija mfalme mwingine nao waombe
 
Acha kudanganya wenzio, meneja wa uwanja wa mkapa alisema uwanja umefungwa kwa sababu wanategemea kupisha shughuli za kiserikali zitakazofanyika hapo na uwanja kwa ujumla uko vzr kila sehemu.
Mmmhh kumbe tunadanganywa siyo kweli sehemu ya kuchezea soka kwenye uwanja wa Mkapa una vipara .
 
Hata hivyo kama siyo kulazimisha tu, uwanja wa Mkapa ni wa fisiem? Kama ni uwanja wa Taifa, je cdm, act, chauma au chama kingine chochote kinaweza kufanyia kampeni zake za kisiasa pale? Mambo mengine ni kiburi na kujikweza pasipo sababu. Fisiem wangetakiwa kutafuta eneo jingine la kufanyia kampeni zake, siyo uwanja uliojengwa kwa kodi za wananchi wa vyama vyote na wale wasiokuwa na vyama.

Kuonyesha kwamba mambo ya kijinga na kipumbavu hatutaki, ni kukiondoa chama dola madarakani ili kunusuru mali zetu zisiendelee kuharibiwa na wajinga/wapumbavu kama ilivyotokea kwa Mkapa.
Tatizo kiwanja Cha wazi walichikuwa wanakitegemea ,kimejaaa VYURA na vibaka wa JaNgWani,nakimekuwa hifadhi rasmi ya vyura
 
Back
Top Bottom