OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 51,980
- 114,290
Bongo raha sana,yule mwizi na mwezeshaji wa wazungu wezi naye anashika tama kwa masikitiko makubwa akishangaa jinsi tunavyoibiwa!
CCM ilipewa dola,vyanzo na vyombo vya kila namna kulinda rasilimali za nchi,imetufikisha hapa eti leo hii ni Msikitikaji Mkuu wa wizi unaoendelea!Huu ni unafiki wa kiwango cha jehanamu
Nikiona maoni ya waliokuwa viongozi,wabunge,mawaziri,maraisi na waliopo katika serikali hii kwamba wamechoka kuibiwa nabaki kustaajabu tu!
Nina uhakika hawa watu hawajachoka kuibiwa bali wamechoka kuiba
1.Waliopitisha sheria na sera,wao
2.Waliopitisha sheria za madini na gesi kwa hati za dharura, wao
3.Waliokuwa makamishna na mawaziri wa madini wao
4.Waliunda tume za kushauri kuhusu sera za madini na kuweka kapuni tafiki wao
5.Waliozimia wabunge wa upinzani wafukuzwe bungeni kwa kupinga ufisadi wa Buzwagi,wao
6.Waliokuwa wakisaini mikataba kwenye ndege na nchi za nje kuuza migodi,wao
7.Waliotunga sheria za kupata mirahaba asilimia kidogo, wao
10.Waliokataa kuleta mikataba ya madini bungeni ijadiliwe na wabunge,wao
11.Waliotetea Prof.Muhongo kwamba anafaa sana kumshauri rais,wao
12.Waliokataa kubadili katiba ili kina Mkapa,Kikwete na wote waliowezesha wizi huu wanyongwe,wao
13.Waliotunga sheria kuruhusu mchanga ukachenjuliwe nje,wao
14.WALIOANZISHA MAHAKAMA YA MAFISADI NA WALIOTUTANGAZIA WAHAKAMA IMEKOSA MAFISADI,WAO
Hivi kweli unaweza kusema watu hawa wamechoka kuibiwa?!!! Umemsikia Kikwete au Mkapa akisema chochote?Wanajua walichokifanya huku Magufuli akiwa ni mmoja wao katika baraza la mawaziri. Angewakatalia toka kipindi mile pengine tungeshaokoa wakontena maelfu kwa maelfu
Na mwisho wa siku hii kesi tunakwenda kushindwa asubuhi na mapema.Sio kwamba hatukuibiwa,ila ni kwa sababu maCCM wameingia mikataba ya kihuni inayobana kila nukta,wameingia kwenye ma treaties ya kiwizi-wizi.