CCM mmechoka kuibiwa au mmechoka kutuibia?

CCM mmechoka kuibiwa au mmechoka kutuibia?

Mkuu hujajibu swali

Msingi mkuu wa maovu haya yote nikatiba mbovu na yahovyo.

umeulizwa kama pombe na ccm wapo serious kwanini hawabadili Katiba?


CCM KWANINI HAWAITAKI ILE YA JAJI WARIOBA?
Unajua walioongoza kupambana katiba ya Warioba ishindwe? ...
 
Unajua walioongoza kupambana katiba ya Warioba ishindwe? ...

Bahati mbaya ubishani usio natija huwa siuwezi.

naomba niishie hapo....maana kwa mwenye akili timamu anajuwa mwenye serikali ni nani, mwenye maamuzi katika kura kwa wingi ninani....endelea na majibu ya siasa maana kwako nisahihi kubisha bila hoja.
 
Hajachoshwa na yote hayo,kazidiwa tu kete
Na muhongo muongo !
Sasa anajidai kutoa machozi ya uchungu wa nchi,kujidai anaumizwa na wizi !

Yeye si mmoja wa waliopitisha mikataba ya wizi ? Leo anatatarika nini,ili aonekane hakuhusika?

Msema ukweli Huyo !
Mzee watu wana akili kuliko unavyo waza.hilarity wakudanganya,hiyo inawafaa wewe na wakaribu na meza yako.

Ila wengine wengi,tumegundua unarusha upupu,unakoelekea upepo,ili kuumiza wengi,kwakua umeshindwa kutimiza ahadi zako,ili uje usingizie tuliibiwa dhahabu tukashindwa kutimiza ahadi za ccm kwa wananchi ! Utakaa sana,na komedi zako hizo.
 
Back
Top Bottom