CCM "Mene Mene Tekeli na Peresi" ....?!

CCM "Mene Mene Tekeli na Peresi" ....?!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
58,884
Reaction score
132,155
Wanabodi,

Hili neno "Mene Mene Tekeli na Peresi", lililetwa humu jf kwa mara ya kwanza na mmoja wa Ma Great Thinkers wetu humu, Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwenye uzi wake huu.
"Mene Mene Tekeli na Peresi"!

Hii ilikua ni 17th October 2006, mwaka mmoja tuu tangu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete aingie madarakani.

Leo ni miaka 9 baadaye, ukiwa umebakia mwezi mmoja tuu Dr. Kikwete amalize muda wake kwenye uongozi akiwa anajiandaa kuondoka madarakani na kuikabidhi nchi kwa atakayemfuatia, jee bado CCM ni "Mene Mene Tekeli na Peresi?!" au sasa mambo yamebadilika?.

Nawatakia Iddi Njema.

Pasco
 
Ccm tupilia mbali ufalme wake umehesabiwa na kukomeshwa.Mabadiliko ni sasa
 
Wanabodi,

Hili neno "Mene Mene Tekeli na Peresi", lililetwa humu jf kwa mara ya kwanza na mmoja wa Ma Great Thinkers wetu humu, Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwenye uzi wake huu.
"Mene Mene Tekeli na Peresi"!

Hii ilikua ni 17th October 2006, mwaka mmoja tuu tangu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete aingie madarakani.

Leo ni miaka 9 baadaye, ukiwa umebakia mwezi mmoja tuu Dr. Kikwete amalize muda wake kwenye uongozi akiwa anajiandaa kuondoka madarakani na kuikabidhi nchi kwa atakayemfuatia, jee bado CCM ni "Mene Mene Tekeli na Peresi?!" au sasa mambo yamebadilika?.

Nawatakia Iddi Njema.

Pa
sco

Wazee ndio nguzo ya CCM nao pia wanaikataa. Msikilize mzee wa kigamboni

Last edited by a moderator:
Hata udiwani mnamwonea, familia tu ameshindwa kuiongoza.
 
Ccm ipo kwenye coma.
Inahitajika mabadiliko mapema asubuhi 25/10
 
With just one day to go, there is nothing new to say, yote yameishasemwa, sasa imebaki kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, uchaguzi ndio keshokutwa Jumapili, nini kitafanyika siku hiyo, na baada ya hapo, tukutane tena wiki ijayo, au tupongezane, au tupeane pole!.

Nchi hii inaweza tuu kubadilishwa kwa watu wenye uthubutu wa kuchukua maamuzi magumu, na kusimama wahesabiwe!.

I'm very proud kuwa ni mmoja wa wapiga kura hiyo Jumapili.

Haya shime kwa wote waliojiandikisha, tujitokeze kwa wingi, tuitumie haki yetu ya kidemokrasia kujichagulia viongozi wetu,

We have to choose our leaders and love our choices and live with or without!.
and for sure kesho

CCM Ni "Mene Mene Tekeli na Peresi!"
Pasco
 
Ni neno la unabii, tunamshukuru Mungu wetu wa mbinguni utawala wa mashetani unafikia tamati hapo kesho. Wao hudai CHADEMA ni chama cha kikristo huku wakidai tena CUF ni chama cha Waislamu. Hii ni kwasababu wao CCM hawaabudu Mungu bali wanaabudu SHETANI wa makafara ya maalbino. Tuwaondoe ili tulirejeshe taifa letu mikononi mwa Muumba wetu ambao wao hawamtaki
 
With just one day to go, there is nothing new to say, yote yameishasemwa, sasa imebaki kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, uchaguzi ndio keshokutwa Jumapili, nini kitafanyika siku hiyo, na baada ya hapo, tukutane tena wiki ijayo, au tupongezane, au tupeane pole!.

Nchi hii inaweza tuu kubadilishwa kwa watu wenye uthubutu wa kuchukua maamuzi magumu, na kusimama wahesabiwe!.

I'm very proud kuwa ni mmoja wa wapiga kura hiyo Jumapili.

Haya shime kwa wote waliojiandikisha, tujitokeze kwa wingi, tuitumie haki yetu ya kidemokrasia kujichagulia viongozi wetu,

We have to choose our leaders and love our choices and live with or without!.
and for sure kesho
[h=2]CCM Ni "Mene Mene Tekeli na Peresi!"[/h] Pasco

simama uhesabiwe,nashkuru kwa kumpa kura yako ndugu yetu ENL
 
Back
Top Bottom