kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,931
- 7,828
....woow...kumbe upo Mbeya?.....Acha kudanganya watu wewe
Mimi mikutano yote miwili nimehudhuria.
Tulia alikuwa na watu wachache Sana jana Jana ukilinganisha na mkutano wa wiki iliyopita wa chadema.
Mimi si mwanachama wa chama chochote ila kwa hapa Mbeya huyu mama ana wakati mgumu mno.
Huyu mama ni mzuri ila tatizo ni Jimbo analogombea.View attachment 1564939View attachment 1564940
Ona hii ya last week
Kiwanja ni hichohichoView attachment 1564961
Teh teh teh...Ina maana walioijaza Kirumba kiasi kile walisombwa kutokea mbali?Ndiyo maana Magufuli hapa Mwanza alifunga shule zote ili uwanja ujae. Na kweli ulijaa, zaidi ya 60% wanafunzi watupu. Na wanavijiji walipelekewa malori. Wakazi wa mjini tukabakia watazamaji, huku tukishangaa wananzengo toka vijijini wakiletwa mjini kama magunia ya michembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa za kikabila zikianza tu. Jua cdm haitoboi.Kuku kishingo hawezi kumshinda sugu hata siku moja. Usifananishe mbeya na kwa wasukuma asee.
Niliwahi kisema kuwa kama CDM ni KWELI kabisa Madiwani, Wabunge, na viongozi wengine wananunuliwa.Mkuu kama una utimamu wa akili hutakiwi kabisa kuongelea swala la kununuliwa kwa madiwani wala wabunge. Hiyo ndugu ni kujidhalilisha. Kuonekana chama fulani watu wake wananunulika kama bidhaa ni aibu kubwa kwa chama hicho. Je wakipewa jukumu la kuiongoza nchi watashindwa kuonyesha asili yao ya kununuliwa? Tumia akili wakati ukitaka kuchangia jambo
kwakuwabeba kila kataEndeleeni kushindana kujaza viwanja vya kampeni maana ndio siasa mlizobakiwa nazo.
Nipo....woow...kumbe upo Mbeya?.....
Sasa huo umati utaulinganisha na huu!?Hujui.....Kwani nani mwanachama wa chama chochote?......Sijui.....Usione aibu ona sasa, View attachment 1565113 pendeza eheee!!
CCM mnachosha..2015 UKAWA..2020 Chadema peke yake..Hii ni nini?View attachment 1564946
Alipiga hesabu vibaya sanaAcha kudanganya watu wewe
Mimi mikutano yote miwili nimehudhuria.
Tulia alikuwa na watu wachache Sana jana Jana ukilinganisha na mkutano wa wiki iliyopita wa chadema.
Mimi si mwanachama wa chama chochote ila kwa hapa Mbeya huyu mama ana wakati mgumu mno.
Huyu mama ni mzuri ila tatizo ni Jimbo analogombea.View attachment 1564939View attachment 1564940
Ona hii ya last week
Kiwanja ni hichohichoView attachment 1564961
Mkuu njoo hapa browmer tunywe chai baada ya kazi.Acha kudanganya watu wewe
Mimi mikutano yote miwili nimehudhuria.
Tulia alikuwa na watu wachache Sana jana Jana ukilinganisha na mkutano wa wiki iliyopita wa chadema.
Mimi si mwanachama wa chama chochote ila kwa hapa Mbeya huyu mama ana wakati mgumu mno.
Huyu mama ni mzuri ila tatizo ni Jimbo analogombea.View attachment 1564939View attachment 1564940
Ona hii ya last week
Kiwanja ni hichohichoView attachment 1564961
AkhsanteMkuu njoo hapa browmer tunywe chai baada ya kazi.