CCM Mashine kubwa ina Saga na Kukoboa.

CCM Mashine kubwa ina Saga na Kukoboa.

mwisho wa yote ni siku ya uchaguzi na kumalizia matokeo.

Tunasubiri kwa hamu kubwa.
 
Inawezekana ikawa ni kweli si unaona wanavyosaga na kukoboa wake wa makada wenzao huko igunga
 
Jamani wa Tz hawaishi kwa misemo, na huko CCM naona mda mwingi unatumika kubuni maneno tu, mara kufikiri kwa kutumia masaburi loo ebu CCM tuleteeni misemo ya kupunguza bei ya sukari na kuondoa kero ya umeme
 
Hii ni kauli mbiu inayotumiwa na wanachama na wapenzi wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa igunga, ni kauli inayoonesha kutumia ubabe, na je? inawezekana aje kuwapo Mashine inayosaga na kukoboa? badala ya "kukoboa na kusaga"

Hii kauli haina utata ni ya kweli kabisa, si unaona siku hizi makada wake wanapanda majukwaani na vitu vya moto (bastola) ukileta fyoko "wanakukoboa" hapo hapo. Na wakikuonea huruma sana wanakulambia mkeo...na kesi hakuna.
 
Hii ni kauli mbiu inayotumiwa na wanachama na wapenzi wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa igunga, ni kauli inayoonesha kutumia ubabe, na je? inawezekana aje kuwapo Mashine inayosaga na kukoboa? badala ya "kukoboa na kusaga"

Majitaka......
 
naunga mkono hoja ni kweli ccm ni mashine inayokoboa na kusaga kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Come 2nd Octobet, 2011 the truth will prevail: CCM or CDM kuibuka kidedea.
Good thing about this election; Shimbo will not surface because the ballot results are challengeable in a court of law! Twende sawa.
 
Back
Top Bottom