Uchaguzi 2020 CCM Maji ya shingo Temeke, mgombea wao wa ubunge hafahamiki popote, Sina Manzi wa CHADEMA ang'ara

Ukweli ni lazima tuuseme, kwa dar hadi sasa chadema tushapoteza majimbo ya : Temeke, Mbagala, Kibamba, Kinondoni, Ilala na Kigamboni, ni kutokana na aina ya watu tuliowaweka kulinganisha na nguvu ya ccm
Majimbo ambayo tunapaswa kuyashughulikia ni : Kawe, Segerea na Ubungo
Temeke ndiko kutaongoza kuishikisha adabu chadema sanduku la kura ,Temeke na CHADEMA wapi na wapi? Yaani watafute sehemu zingine za kujifarijia sio Temeke .Temeke na Mbagala moto wa kuotea Mbali yaani Chadema wakae mbali

Majimbo ya Mbagala,Temeke na Kigamboni kama kuna mgombea wa Chadema anapoteza pesa zake tu

Ona msafara wa Lisu akienda uzinduzi WA KAMPEMI Mbagala kilichomkuta msafara wake hakuna aliyeushobokea na alipofika mbagala ona idadi ya watu aliowakuta ni aibu

Kipindi hiki Cha uchaguzi naona Dar Kama imepoa Sana , na mikoani ndo wako hot kuleta vuguvugu la mabadiriko
Dah wanakimbiza mwiz kimya kimya wana play low profile ili in case atapita magu bahati mbaya wasiathirike sn kama wkt wa lowasa baada ya kushindwa lkn machungu waliyonayo dhidi ya huyo mtu hayaelezeki

Wengi ni business man so wapo kihesabati zaidi
 
Wewe aliyekwambia Mgombea wa CCM hafamiki temeke amekupoteza naomba uendelee hivyo hivyo ili tushinde huku ukiwa unahamaki kwaza nyie machadema hamna sera za maono watanzania wote ni CCM
 
Ukweli ni lazima tuuseme, kwa dar hadi sasa chadema tushapoteza majimbo ya : Temeke, Mbagala, Kibamba, Kinondoni, Ilala na Kigamboni, ni kutokana na aina ya watu tuliowaweka kulinganisha na nguvu ya ccm
Majimbo ambayo tunapaswa kuyashughulikia ni : Kawe, Segerea na Ubungo
Lini umehamia CHADEMA?
 
Back
Top Bottom