CCM kweli imechoka

CCM kweli imechoka

Tatizo la polepole anatafuta umaarufu binafsi. Serikali aifanyi kazi kwa kupigiana simu za usiku.
 
Kwa ivo kwa kufuata Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mbunge anayo mamlaka ya kumpigia Simu IGP na kumuagiza afanye Jambo??
Mimi ninachoshangaa ni chairman Mbowee kuwa Mwenyekiti wa kudumu pale ufipa kwani hakuna wa kupokea kijiti?
 
Pamoja na kuwa na wabunge zaidi ya 300 Bungeni, lakini kutokana na CCM kuwa na uchakavu, bado kinamhitaji Humphrey Polepole kupokea Simu za wananchi, ili kiweze kuisimamia Serikali.

AIBU SANA!!
Hizi Story Vibendera Tokea Mwaka 1995
Tulisha wachoka na Ukilaza wenu
 
Pamoja na kuwa na wabunge zaidi ya 300 Bungeni, lakini kutokana na CCM kuwa na uchakavu, bado kinamhitaji Humphrey Polepole kupokea Simu za wananchi, ili kiweze kuisimamia Serikali.

AIBU SANA!!

Mkuu unateseka na Nini Sasa. Mbona uzi hauna Kichwa wala miguu. JF imevamiwa na wanachama wa CHadema. Hawana tena IQ. Akili yao imekunywa damu ya CHadema. Aibu. Kuna mambo mengi ya msingi yanafanyika . Afu kama nakumbuka. Wakati jamaa mmoja alipouliza mbona Halima Mdee jimboni kwake hafanyi kazi. Mwanachadema akasema sio kazi ya mbunge. Sasa mbona nyie watu Mnakuwa vyura. Hamjulikani mmeinama mmesimama au mmechuchumaa. By the way Kuna lidaraja la wapi sijui kule ziwa Victoria nk. Ukatembelee. Kama nauli tatizo Sema. Kuna dalili kubwa huyu jamaa ndo mkurugenzi wa Igunga. Mana kakurupuka.
 
Hilo daraja lina tija gani ?
 
Ukitaka ubunge wa CCM ramba viatu vya Humphrey Polepole, hata kama wajumbe walikukataa jina lako litarudi na mkurugenzi ni lazima akutangaze mshindi.
 
Kusema ukweli ccm sometimes inaboa Sana,hawajui kuwa dynamic,kuna mambo mengine yamepitwa na wakati eg.kuharasi watumishi wa umma wakati unajua kabisa kwenye uchaguzi watu kama hao wameplay role kubwa sana
 
Kwanza tuulizane. Polepole zile Simu anapiga kwa nafasi yake ya Ubunge wa kuteuliwa ama kama Katibu Mwenezi wa CCM?

Wabunge wengine wa kuteuliwa kama Polepole wanaweza kupiga Simu na kuwaagiza wakuu wa serikali na vyombo vya dola kufanya Jambo lolote lile!!??
Sasa uongozi au serikali iliyopo madarakani ni ya "Saccos" au ya CCM .
 
Achani uhanithi mnamuona polepole anasaidia wananchi mbele yanu anasaidia wanyonge bado mnamsema kwa kipindi chake ng'ombe nyinyi
 
Pamoja na kuwa na wabunge zaidi ya 300 Bungeni, lakini kutokana na CCM kuwa na uchakavu, bado kinamhitaji Humphrey Polepole kupokea Simu za wananchi, ili kiweze kuisimamia Serikali.

AIBU SANA!!
CCM wote ni wachawi na mashetani
 
Hivi kwa mfano mtumishi wa umma atakayekataa kupokea Simu au kutekeleza
Maelekezo ya Polepole. Atafanywa nini??
Hawakufanywa chochote na wasingelifanywa chochote kwa kutopokea simu za chakubanga maana ile ilikuwa sanaa na wao maccm wanaamini watanzania huamini katika tetesi na maneno kuliko vitendo!! Ndio maana kuna watu walishangilia daktari wa zahanati yao kijijini kutumbuliwa kisha baadae wakajuta kwa kukosa daktari katika zahanati hiyo!!!
 
Pamoja na kuwa na wabunge zaidi ya 300 Bungeni, lakini kutokana na CCM kuwa na uchakavu, bado kinamhitaji Humphrey Polepole kupokea Simu za wananchi, ili kiweze kuisimamia Serikali.

AIBU SANA!!
Hii kazi ya kupokea simu mbona imekwisha ghafula?...kuna aliyemzuia Comrade Polepole kuifanya?
 
Back
Top Bottom