Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,748
- 50,170
- Thread starter
- #21
Hujui maana ya kusimamia.
Kusimamia nini sasa?
Sisi hapa tunajua wenye wajibu wa kuisimamia Serikali ni wabunge kupitia kwenye vikao vya Bunge na si Serikali kusimamiwa na Katibu Mwenezi wa Chama kinachounda Serikali.
Polepole anadekezwa tu!!