misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,580 Reaction score 14,159 Jul 26, 2025 #61 Missile of the Nation said: Hoja ya Polepole wakati akihojiwa na Jenerali Ulimwengu kuwa eti Mwenyekiti wa CCM ana nguvu kuliko Rais ni ya ajabu sana. Pengine hajui kuwa Rais akiamua kukunjua makucha yake anaweza kumpoteza huyo Mwenyekiti kwa kesi ya uhujumu uchumi. Click to expand... Ujinga kumvisha rais kama mungu, ndio maana watu wanadai katiba mpya kupunguza huu ujinga. Eti makucha
Missile of the Nation said: Hoja ya Polepole wakati akihojiwa na Jenerali Ulimwengu kuwa eti Mwenyekiti wa CCM ana nguvu kuliko Rais ni ya ajabu sana. Pengine hajui kuwa Rais akiamua kukunjua makucha yake anaweza kumpoteza huyo Mwenyekiti kwa kesi ya uhujumu uchumi. Click to expand... Ujinga kumvisha rais kama mungu, ndio maana watu wanadai katiba mpya kupunguza huu ujinga. Eti makucha
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,652 Reaction score 860,937 Jul 27, 2025 #62 Kwamuktadha said: Si mmesema Masoud amefungiwa? Mnapenda kujitekenya na kucheka wenyewe. Click to expand... Una hakika uko sawa upstairs?
Kwamuktadha said: Si mmesema Masoud amefungiwa? Mnapenda kujitekenya na kucheka wenyewe. Click to expand... Una hakika uko sawa upstairs?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,652 Reaction score 860,937 Jul 27, 2025 #63 Jaws said: Labda Mungu Aingilie kati au wajanja wam-magufulishe. Mi nasema mama tunaye mpaka 2035. Mama hoyeeee! View attachment 3419477 Click to expand... Kuna kiki ikipigwa hapo itaondoka mpaka na goli.. Ni swala la kupata tu mpigaji mzuri
Jaws said: Labda Mungu Aingilie kati au wajanja wam-magufulishe. Mi nasema mama tunaye mpaka 2035. Mama hoyeeee! View attachment 3419477 Click to expand... Kuna kiki ikipigwa hapo itaondoka mpaka na goli.. Ni swala la kupata tu mpigaji mzuri