The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,111
- 21,982
Kuwa na adabu sisi hatupigii kura ni mgombea wenu siyo.wetuKama ninaiona misokwe flani ilivyonuna humu saa hizi. Haiamini onachoshuhudia baada ya threads zao nyingiiiiiiiiiiii za kuwaaminisha ujinga wajinga wa humu jf......of course tubawaita nyumbu sababu ni nyumbu.
Na hivyo ndivyo tunavyotaka....... mambo yanaenda muruaaaa kabisa.Kuwa na adabu sisi hatupigii kura ni mgombea wenu siyo.wetu
sijui atakuja vip?Tuliokuwa tukimuani tumekuwa wanyonge
Nguvu zimetuishia π€£π€£sijui atakuja vip?Tuliokuwa tukimuani tumekuwa wanyonge
mjuba ushaambiwa utulieNa hivyo ndivyo tunavyotaka....... mambo yanaenda muruaaaa kabisa.
Sasa kwanini mnahangaika kuleta uchuro huu na ule Kila dakika kwa Samia ikiwa nyie hampigi kura?!!
Umeupata wapi huo msitari!?.. maana kila pahala unauwekaUkiwasoma watu vizuri utagundua kua akili timamu bado ni bidhaa adimu mno katika maisha ya binadamu wa kisasa
Okmjuba ushaambiwa utulie
Haya masokwe Fulani yameshaabika tayari yazue jingineKama ninaiona misokwe flani ilivyonuna humu saa hizi. Haiamini onachoshuhudia baada ya threads zao nyingiiiiiiiiiiii za kuwaaminisha ujinga wajinga wa humu jf......of course tubawaita nyumbu sababu ni nyumbu.
Kutoka timu ganiNi muda wa kiapo sasa,
Wajuba wameamua kama mbwai na iwe mbwai
Uhalisia wa ndani ni tofauti na mnavyoaminishwa huku nje husasan hapa JFπ
ππππππ kazi wanayoPolepole na timu yake bado wana mtihani mkubwa.
Britanicca sio ndio yule kaka yenu aliyewapanda wananchi mgongoni kule jimboni kwakeπ
Umeupata wapi huo msitari!?.. maana kila pahala unauweka
Simjui huyoBritanicca sio ndio yule kaka yenu aliyewapanda wananchi mgongoni kule jimboni kwakeπ