CCM kwaiva: Kama si Salim ni Mwandosya

CCM kwaiva: Kama si Salim ni Mwandosya

Unapokuja na mada kama hizi uwe na unaongozwa na sheria hii kichwani mwako. Raisi ajaye ni lazima awe amembeba Yesu Moyoni mwake. Nashangaaa unapokuja na majina ya watu ambao bado hawajamjua Yesu ukitegemea watapita Octber 25... Waliombeba Yesu sio wadanganyika kiasi hicho. Watatafuta alternative tu nakwambia...
 
Umetumwa wewe, hao vikongwe wa nini! Kuna hazina kubwa CCM zaidi ya hawa ajuza..... tunawaka viongozi sio makapi!

Afadhari hawa, maana vijana wenyewe ndo kama January wanataka watupeleke jela watumia mitandao wote!
 
Mwandosya mgonjwa!Salim Ahmed Salim si alishastaafu???au ccm hakuna kustaafu???Jee walutherani hawafai kuwa rais tanzania???
 
Anguko la CCM hatimae linawadia...its matter of time

Ningependa nione mabadiliko, ila sioni upinzani ukishinda! tena kihalali, nimetambua kuwa bado hawajajipanga kuchukua nchi.
Atakayesimamishwa na sisiemu, yeyote yule atashinda, hasa hasa hawa wawili wana mvuto kiasi fulani, Kama hutaki acha ila ndo ukweli!
 
Walisema siyo Mtanzania japo ni mtu mwenye weledi sasa kuna nini tena? Wamchafue wao na yeye awasafishe wao? This is shame na naimani hawezi kukubali Dkt Salim
 
Mwandosya mgonjwa!Salim Ahmed Salim si alishastaafu???au ccm hakuna kustaafu???Jee walutherani hawafai kuwa rais tanzania???

Pendekeza nani sasa tuone, sio unalalamika wakati mbadala hautoi!
Alafu ubongo wako umelala, warutheri wanafikaje hapo???
 
Maghufuli hachafuliki kwa porojo kama hizi.

Mavi ya bata kabisa yaani report ya GAG imebaini hivyo unakataa..hili jambo liliwahi kiswa na mnyika bungeni wakamtetea kiko wapi sasa
 
UKAWA hatuna shida yeyote Rais kwa ccm akigombea Dr Salim Ahmed huenda na sisi Ukawa akawa ndie huyohuyo rais wetu tumtakae tunaweza tusisimamishe mgombea kutoka upinzani ni mtu mzuri
 
CCM walivyowadharau watanzania sitashangaa hata wakimteua Mulugo.
 
Hatar sana... kwahiyo chama chooote wenye afadhari ni wawili tu? Hamponi mwaka huu mkae pembeni tumewachoka
 
Katika list ya maandalizi ya CCM nachelea kusema kuna watu hawa watatu ukiacha mgombea Binafsi Edward Lowassa.
Kuna 1. Nchemba Mwigulu, 2. Asha Rose Migiro na huyu wa mwisho ndiye haswa kaandaliwa zaidi.. UKAWA Jiandaeni chaguo la mgombea Urais kwa tiketi ya CCM uchaguzi wa mwaka 2015 ni Dr. Ali Mohammed Shein...
 
Back
Top Bottom