CCM kumtenga Makonda inajiharibia

CCM kumtenga Makonda inajiharibia

Ila pia kumwadabisha ni ufunguo wa kuadabishwa Kwa wanakijani,wote kwani ni Imani yangu kuwa hakuna aliyemsafi,ila wanatofautiana Kwa kufichwa wayafanyayo gizani TU.Saambaya alitolewa kafara kwakuwa alivuka mstari mwekundu Kwa ukaidi wake na jeuri😜
Bashite alishavuka kilomita 1000 mstari aliovuka saambaya
 
Ila pia kumwadabisha ni ufunguo wa kuadabishwa Kwa wanakijani,wote kwani ni Imani yangu kuwa hakuna aliyemsafi,ila wanatofautiana Kwa kufichwa wayafanyayo gizani TU.Saambaya alitolewa kafara kwakuwa alivuka mstari mwekundu Kwa ukaidi wake na jeuri😜
Sabaya alivuka mstari. Huyu Makonda uhuni wake wote ni kwaajili ya chama. Kunyanyasa watu. Kumsingizia Lowassa mtoto nk nk. Watu wataacha kukifanyia chama mambo kama hayo.
 
Taasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao.

CCM kuwa na nguvu haitegemei wananchi bali ushirikiano wao kwa wao na mshikamano wao. Kama hawawezi kulindana ni hatari kwao. Visasi na kutupana ndani kwa ndani kutawabomoa wenyewe.
Makonda atumie kipindi hiki cha Kwaresma kwenda kuomba msamaha kwa familia za Mzee Warioba, Kikwete, na ya Philip Mpango. Kisha atoke hadharani awaombe msamaha Watanzania aliyowahi kuwaumiza kwa namna moja ama nyingine kwa maamuzi aliyowahi kuyafanya ili apate kumfurahisha aliyekuwa bosi wake.

Watu maarufu wanaotajwa kwa uchache ni Tundu Lissu,MO mfadhili mkuu wa mikia, Yusuph Manji, Mbowe, Ridhiwani kama yeye binafsi, familia za marehemu Kabwe, Ben Saanane, Gamba na ya Ruge, na wengine wengi ambao waliamua kunyuti kuhusu dhuluma walizofanyiwa.
 
Taasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao.

CCM kuwa na nguvu haitegemei wananchi bali ushirikiano wao kwa wao na mshikamano wao. Kama hawawezi kulindana ni hatari kwao. Visasi na kutupana ndani kwa ndani kutawabomoa wenyewe.
Samahani lakini lazima niseme maoni haya

Makonda si chochote wala lolote nchi hii.

Akipotea kesho hakuna mtu atajua alikuwepo.
 
Taasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao.

CCM kuwa na nguvu haitegemei wananchi bali ushirikiano wao kwa wao na mshikamano wao. Kama hawawezi kulindana ni hatari kwao. Visasi na kutupana ndani kwa ndani kutawabomoa wenyewe.
Wacha Makonda afunzwe adabu, mwache.
 
Unaongelea CCM kama iko moja wakati imegawanyika makundi.
 
CCM walilea magenge ya vijana waliokua wakifanya matukio na watu kuwakemea kipindi kile wakawa hawasikii.

Boss wao akawa anaishia kuwaambia chapa kazi usisikilize hizo kelele, huku CCM hao hao wakawa wanasema sababu wanafanyiwa upinza it is alright.

Mpaka walipowageukia na wao ndio wakashtuka huyu Mr Zero ni among of the state goons ukiunganisha na kina Musiba , Sabaya na Happi hakuna mtu anayewatenga ni muda wao wa malipo umefika.

Mtoa mada hujiulizi baada ya boss wao kufa vile vigazeti uchwara vya Tanzanite na Jamvi la habari vilipotea hata wafanyakazi kutolipwa miezi kadhaa?

Hii lawama haiepukiki awamu ya 5 ni ovyo kuliko kawaida walitengeneza wahuni na wahuni wamewarudia sasa mpambane sisi tunasubiri mwisho ila huyu jambazi hasafishiki na hata ubalozi wa Marekani unalijua fika.
Uhuni huo ndiyo umefanya wabunge wengi wa CCM wawepo bungeni. Ndiyo uliowapa madiwani na kushika local goverment nchi nzima. Kifupi inaishi kwa mtindo hui. Wakianza kunyosheana vidole wataanguka.
 
Kabisa ujinga walioufanya kuanzia serikali za mitaa 2019 ni aibu tu.

Mimi naamimi washamba walishika madaraka so kila kitu kikaenda kishamba tu.
 
Taasisi kama CCM huwa inasimama kwa watu wake kuwa pamoja na kusimama pamoja. Ni kweli kuwa Makonda hakuwa mtu wa maana na alijaa kiburi, lakini kwa CCM kumchinjia baharini ni hatari kwao.

CCM kuwa na nguvu haitegemei wananchi bali ushirikiano wao kwa wao na mshikamano wao. Kama hawawezi kulindana ni hatari kwao. Visasi na kutupana ndani kwa ndani kutawabomoa wenyewe.
Acheni kukumbatia wapuuzi kama huyu.
 
Walimtenga Sabaya na maisha yanaendelea.
 
CCM imeisha watosa watu wazito kuliko Makondai wengi tu!! Huyu Makonda ni kicheche ambacho kinataka kuichafua taswira ya chama na kwenye chama hawakubali kuchafuliwa na huyu mtu wa kutoka shamba!! Angekuwa na akili angerudi kwao Kolomije hapa mjini atapotea!!!
Yamekuwa hayo! Lakini mbona mlifurahi na kumzawadia ukuu wa wilaya baada ya kumpiga kofi Jaji Warioba? Ccm ni kokoro kweli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom