KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,151
hamna jipya
hamna jipya
Sasa hivi wamegundua kwamba bila kuongozana na wasanii hawauzi.
Naomba kuuliza gharama wanazozitumia kwenye kampeni zao za kulipa wasanii wote wale, haziingii kwenye gharama za uchaguzi? Ni formula gani inayotumika ku-calculate gharama za uchaguzi? Au kwasababu tume inawaogopa? Maana tumeshuhudia wakizidisha mpaka muda wa kampeni mara mbili lakini jamaa zetu wameufyata! Wanazidiwa hata na bi asha bakari aliyeufyatua!
Lowassa hatashinda. Kosa la ukawa ni la kimkakati. Kama Dk Slaa angesikilizwa ushindi kwa ukawa ingekuwa asubuhi.
Dk Slaa alitaka kuwaandaa wagombea wote kwa kuwapa mafunzo. Mjue sasa hivi kampeni za majimboni kwa upande wa ukawa zimedorora. Wakati CCM wameanza kampeni za nyumba kwa nyumba ukawa bado wako ngazi ya taifa. Ni kweli Lowasa anapata mapokezi makubwa zaidi ya Magufuli. Lakini Lowasa anaenda sehemu chache sana kulinganisha na Magufuli. Lowasa anapita angani. Magufuli anapita chini. Magufuli amekuwa akikutana na watu wengi sana njiani wanaomsimamisha awasalimie. Huwezi kusema hata hao wamesombelewa na magari na kupewa pesa.
Mwendelezo wa kampeni anapotoka Magufuli ni mkubwa kuliko wa ukawa.
Awali nilifikiri CCM walihitaji kuchakachua ili washinde. Nilikosea. Watashinda bila kuiba kura ila kwa kampeni za kila aina, halali na haramu. Hata hivyo, ushindi wa CCM hautakuwa mkubwa.
Huyo alieandika kuwa Magufuli anasafiri chini adanganye haohao,Leo Magufuli kaja na ndege mkoani Mara
Huyu ndiye kabaki na Chin ila ubaya hawana point na watu wameshawadharau wakiweka mabandiko yao baada ya dakika kumi yako ukurasa wa nane. Timu kali ni iliyohama ya Lakisipesa , Musa allan n.k.Jidanganye tu!
![]()
![]()
Bila hii kitu chadema hawauzi
Kura kwa LOWASSA. au KIFO!....NO WAY OUT!Jidanganye tu!
Onyesha na upande wa Pili tuone mafuso yanawasubiri watu watoke mkutanoni!
Walitangulia na baiskel ya miwa UKAWA kazi ndio inaanza rasmi
Tuwe wawazi jamani, wakati kampeni zinaanza kulikuwa na vijana kibao humu ndani ambao walikuwa wanaitetea ccm, hasa humu Jamii Forums,
Lakini kwa sasa siwaoni tena, zaidi ninachokiona ni habari za Ukawa wakizidi kufanya mabadiliko.
#hapamabadilikotu , kazi kwa muhindi.
Mkoa wa Dar naona ccm ndo imezima kabisaa, sijui labda mikoa mingine.