youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
- Thread starter
- #101
Hamna nmna nyingine maharamia ccm wajiandae kisaikolojia kutiachia nchi yetu
wameachia bhana.
Hamna nmna nyingine maharamia ccm wajiandae kisaikolojia kutiachia nchi yetu
Wamebaki Jingalao na Mr Chin wanapost habari hiyo hiyo mara 20
Mimi nikiona lichama likubwa kama CCM limenyamaza lina piga kampeni kimy kimya naogopa zaidi.
Ogopa sana unapanga mikakati ya kupigana na adui yako wewe una expose kila mbinu uliyo nayo yeye amenyamaza kimya...hatareee!
Kumpiga teke chura ni kumzidishia mwendo...kuisema sana ccm tunaifanya ibadili mbinu za campeni na kujipanga upya...think twice!!!!!
Jamani Faizafoxy sijamsikia siku nyingi alienda wapi?
Mwalimu angekuwepo nyakati hivi...angekuwa ameamia "ukawa"
Tuwe wawazi jamani, wakati kampeni zinaanza kulikuwa na vijana kibao humu ndani ambao walikuwa wanaitetea ccm, hasa humu Jamii Forums,
Lakini kwa sasa siwaoni tena, zaidi ninachokiona ni habari za Ukawa wakizidi kufanya mabadiliko.
#hapamabadilikotu , kazi kwa muhindi.
Mkoa wa Dar naona ccm ndo imezima kabisaa, sijui labda mikoa mingine.
zile billion 150 zimekata nao wakakatika
humu ndani kuna matusi ambayo sijawahi kutukanwa na mtu yeyote ila humu ndio maana nimejikalia kimya, nikianzisha threads hazionekani, sasa ya nini kupoteza muda?
Siku zote anaejiamini hanakelele ukimuona watu wanapiga kelele sana mwisho huwa ni mshangao.
ahsante kakaahahahaaa pole kaka.
Tumeona ukawa hamna hoja mnaleta tu ubishi usio na maana tunawaacha mjidanganye wenyewe subirini baada ya tarehe 25