CCM Kumbe ilikuwa ni nguvu ya Soda

CCM Kumbe ilikuwa ni nguvu ya Soda

asa ndo nini? mi nikajua labda utanionesha sanduku limejaa kura?

sanduku lijae kura kabla ya uchaguzi ili mseme tumeiba kura,subirini october ndio mtaona picha mbele,now tunaonesha nguvu ya umma inavyomkubali magufuli
 
11999837_755815571211947_438126411310629773_o.jpg
 
sanduku lijae kura kabla ya uchaguzi ili mseme tumeiba kura,subirini october ndio mtaona picha mbele,now tunaonesha nguvu ya umma inavyomkubali magufuli

C huwaga mnaiba, ibeni na mwaka huu.
 
Tuwe wawazi jamani, wakati kampeni zinaanza kulikuwa na vijana kibao humu ndani ambao walikuwa wanaitetea ccm, hasa humu Jamii Forums,

Lakini kwa sasa siwaoni tena, zaidi ninachokiona ni habari za Ukawa wakizidi kufanya mabadiliko.

#hapamabadilikotu , kazi kwa muhindi.

Mkoa wa Dar naona ccm ndo imezima kabisaa, sijui labda mikoa mingine.

Sisi hatulipwi wao wanalipwa sasa shahara kama naisha na kazi apana do again veve
 
Lowassa hatashinda. Kosa la ukawa ni la kimkakati. Kama Dk Slaa angesikilizwa ushindi kwa ukawa ingekuwa asubuhi.
Dk Slaa alitaka kuwaandaa wagombea wote kwa kuwapa mafunzo. Mjue sasa hivi kampeni za majimboni kwa upande wa ukawa zimedorora. Wakati CCM wameanza kampeni za nyumba kwa nyumba ukawa bado wako ngazi ya taifa. Ni kweli Lowasa anapata mapokezi makubwa zaidi ya Magufuli. Lakini Lowasa anaenda sehemu chache sana kulinganisha na Magufuli. Lowasa anapita angani. Magufuli anapita chini. Magufuli amekuwa akikutana na watu wengi sana njiani wanaomsimamisha awasalimie. Huwezi kusema hata hao wamesombelewa na magari na kupewa pesa.
Mwendelezo wa kampeni anapotoka Magufuli ni mkubwa kuliko wa ukawa.

Awali nilifikiri CCM walihitaji kuchakachua ili washinde. Nilikosea. Watashinda bila kuiba kura ila kwa kampeni za kila aina, halali na haramu. Hata hivyo, ushindi wa CCM hautakuwa mkubwa.

Ni kweli mikakati ya CCM mikali sana, kimya chao si bure
 
Haa haa sijategemea nikionacho Dodoma yani kila kona watu wa rika na jinsia mbalimbali ni lowasa tu dah
 
Tuwe wawazi jamani, wakati kampeni zinaanza kulikuwa na vijana kibao humu ndani ambao walikuwa wanaitetea ccm, hasa humu Jamii Forums,

Lakini kwa sasa siwaoni tena, zaidi ninachokiona ni habari za Ukawa wakizidi kufanya mabadiliko.

#hapamabadilikotu , kazi kwa muhindi.

Mkoa wa Dar naona ccm ndo imezima kabisaa, sijui labda mikoa mingine.

Sisi CCM tunasubiri rais wetu magufuri kuapishwa tu. tumeshamaliza kazi.
 
... Magufuli amekuwa akikutana na watu wengi sana njiani wanaomsimamisha awasalimie. Huwezi kusema hata hao wamesombelewa na magari na kupewa pesa..

Kila unayemsalimia njiani atakupa kura?
 
Lowassa hatashinda. Kosa la ukawa ni la kimkakati. Kama Dk Slaa angesikilizwa ushindi kwa ukawa ingekuwa asubuhi.
Dk Slaa alitaka kuwaandaa wagombea wote kwa kuwapa mafunzo. Mjue sasa hivi kampeni za majimboni kwa upande wa ukawa zimedorora. Wakati CCM wameanza kampeni za nyumba kwa nyumba ukawa bado wako ngazi ya taifa. Ni kweli Lowasa anapata mapokezi makubwa zaidi ya Magufuli. Lakini Lowasa anaenda sehemu chache sana kulinganisha na Magufuli. Lowasa anapita angani. Magufuli anapita chini. Magufuli amekuwa akikutana na watu wengi sana njiani wanaomsimamisha awasalimie. Huwezi kusema hata hao wamesombelewa na magari na kupewa pesa.
Mwendelezo wa kampeni anapotoka Magufuli ni mkubwa kuliko wa ukawa.
Awali nilifikiri CCM walihitaji kuchakachua ili washinde. Nilikosea. Watashinda bila kuiba kura ila kwa kampeni za kila aina, halali na haramu. Hata hivyo, ushindi wa CCM hautakuwa mkubwa.

Good analysis...
 
Ccm wanatafuta zile kura zinazoonekana kwa maana ya kura halisi,,, tatizo la ukawa akili yao ipo pale kwenye kura za kufikirika aka kura za mashetani, mwisho wa siku mnabaki oooh tumeibiwa kura,, siasa ni science rahisi sana nä si mabavu...
 
Back
Top Bottom