TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
Muacheni ajiliwaze
Sidhani kama hoja hii itamsaidia Nape kujitambua, ebu mwelekeze vizuri ajitambue.
Muacheni ajiliwaze
Kwanza Nape hajakana kuwepo kwa taarifa hiyo bali anadai zimetoka kabla hazijatekelezwa (prematurely).
Kwa mara nyingine ameonesha umma jinsi alivyo na uwezo mdogo (Kilaza).
ktk taarifa ya habari ya TBC ya saa mbili usiku,NAPE amesema kuwa chama cha mapinduzi ccm kitalichukulia hatua gazeti linalochapishwa kila siku hapa Tz kwa kuandika habari za kupotosha umma na kutumia nyaraka ambazo ni siri na bado hazijafanyiwa kazi na chama.
Carolite hazinaga maamuzi magumu siku zote
Acha ubaguzi wenu nyie magamba cku zote mlikuwa wapi kumwita msomali.Hilo ni gazeti "Mtanzania" la Rostam Azizi ambalo liko chini ya "Msomali" Bashe!